Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,169
Gold refinery Bukavu
Wewe zoea tu kubeba rungu, huwezi saidika. 🤣 🤣 🤣 🤣Kwamba unakaa nje unaliangalia hilo dude tayari una ratings [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KQ ikona ya B737 na ya Dash 8Flight simulators are very expensive cost almost as much as a real aircraft, Geza anasema mkona tatu wacha alete evidence you have so far KQ ikona moja, but pilots wa Kq huenda Ethiopia and singapore for 737,767,777 ratingsView attachment 2268687
Hii Kibera ni overrated sana, Kenya kuna ma slums makubwa zaidi ya Kibera sema tu Kibera ni famous kwa sababu watu wanakula mavi, the largest slums in the world as of 22/6/2022[emoji116][emoji116]Kibera June 2022.., tunaweka kila sehemu ya Kenya.., Kibera has some nice apartments sections than uswazi Dar..,
Onesha hiyo ya B737, kama mngekuwa na B737 Ethiopia mnapeleka watu wakafanye nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KQ ikona ya B737 na ya Dash 8
Wabongo na ushamba yao hawajui flight simulator. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kalilie kwa choo.., Kibera has some better houses than where u live.., utanyooka tuHii Kibera ni overrated sana, Kenya kuna ma slums makubwa zaidi ya Kibera sema tu Kibera ni famous kwa sababu watu wanakula mavi, the largest slums in the world as of 22/6/2022[emoji116][emoji116]View attachment 2268981
Do you want to see where I live?Kalilie kwa choo.., Kibera has some better houses than where u live.., utanyooka tu
Hahaha sawa ,nitafanya kazi nitoke kwa hayo mabanda ya nguruwe,ila punguza uongo na wivu utakaa mchawipole sana ila nakusihi fanya kazi kwa bidii ili utoke humo mabandani,hiyo sio sehem ya kuishi binadamu mnatuaibisha sana Waafrika yaani tunaonekana kama vile sisi ni wanyama sio binadamu
Nimekupata vizuri mkuu.Umeelewa vizuri rafiki. Malls zina manufaa mengi tu kwa uchumi. Watu kama akina joto la jiwe ambao wanaidharau mall hawaelewi malls zina manufaa mengi kwa uchumi. Kimsingi hakuna tofauti kubwa kati ya mall na soko la kariokoo isipokuwa aina ya bidhaa zinazouzwa. Soko la Kariokoo kunauzwa matunda, mboga na mambo kama hayo ila kwenye mall utakuta kila kitu kinauzwa humo. Ukitaka bookshop utaipata humo, ukitaka hoteli utaipata humo, ukitaka kununua simu au laptop utaipata humo. In fact nchi za wazungu zimepunguza sana matumiza ya masoko yaani open air market na hata vyakula vinauzwa ndani ya malls na supermarkets. Kimsingi hakuna tofauti kubwa kati ya mall na soko kwa maana hata huko Uzunguni, matunda, mboga, samaki na nyama yanauzwa ndani ya mall. Sasa hata hakuna haja ya soko. Masoko mengi yamefungwa sana huko Uzunguni. Ya mwisho ni kwamba mall inaongeza value ya ardhi ya eneo iliyojengwa. Wakati mall inapojengwa mahali fulani, value ya shamba ya eneo hilo inaongezeka kishenzi.
Ahsante mkuu.CEO wa Equity group
Skiza hapa, KQ wana flight simulator for dreamliner na Embraer pia.Onesha hiyo ya B737, kama mngekuwa na B737 Ethiopia mnapeleka watu wakafanye nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
unaumwa, it has some better houses despite, than your uswazi.., hio najua inakuuma kama umetazama clip..,Hii Kibera ni overrated sana, Kenya kuna ma slums makubwa zaidi ya Kibera sema tu Kibera ni famous kwa sababu watu wanakula mavi, the largest slums in the world as of 22/6/2022[emoji116][emoji116]View attachment 2268981
Tuma mpesa sasa,nikupee number ya tigo?[emoji1787]Onesha hiyo ya B737, kama mngekuwa na B737 Ethiopia mnapeleka watu wakafanye nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeonaee nmemkamata huyo pimbi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuma mpesa sasa,nikupee number ya tigo?[emoji1787]