The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kama mbele mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91]
Kama mbele mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91]
Hapa umepigia mbuzi guitar.., lugha ya hawa vilaza ni mapicha tu ndio level ya ku deal now, deep stuff wachana kabisaa, few heads from down south walo kusanyika jf can grasp what u are saying here.., read their responses uone., 😂 😂 😂 😂Ngoja nikueleweshe, ukimaliza flight school that is ppl, cpl and multi rating for you to be able to fly any aircraft lazima uwe na minimum rating za that type of aircraft, kwa mfano 737-300 lazima uende shule ikona that flight simulator and learn to fly it for a number of hours, sasa hilo lidude hapo nyuma ndio yo use it to get those ratings, lets say unatoka from 737 to 767 lazima pia uingie kwa flight simulator to get the ratings, you cant touch an aircraft without having its rating hata kama ukona 20,000 hrs kwa one particular aircraft.i hope umeelewa, na mnilipe for free schooling[emoji1787]
malipo hapa hapa duniani mkipigana mie nitachangia mapanga mwaka huu! 🤷♂️ 🤷♂️ 🤣🤣🤣Can't you just grow bila kuombea watu wengine maovu?? We ni mzee lakini huwa na utoto mwingine sijawahi kuona
Hii ni nzuri maana ndio atajua sasa namna ya kwenda na hawa nyqng'auWasivyokuwa na akili wameshaanza kimtibua mama wenyewe kwa kuzuia malori toka Tanzania na hili la wamasai wa ngorongoro. Kifuatacho ni kilio tuu.
Hapa vipi, wachawi wa Kikenya
![]()
Tony254 Yaani tunachohitaji ni mpigane katika uchaguzi huu na kwa roho zenyu za husda mtavurutana!
Ata baba yao gueza nikama ako clueless[emoji1787]Hapa umepigia mbuzi guitar.., lugha ya hawa vilaza ni mapicha tu ndio level ya ku deal now, deep stuff wachana kabisaa, few heads from down south walo kusanyika jf can grasp what u are saying here.., read their responses uone., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
summer wakati huu ndo huwa mbuga zinajaa maana huku inakuwa kipindi cha holiday!Ikifika winter time ulaya nadhani mbuga zetu zitajaa kupita mfano
Hujui kuwa vita vya panzi furaha kwa kunguru?Can't you just grow bila kuombea watu wengine maovu?? We ni mzee lakini huwa na utoto mwingine sijawahi kuona
Unapigilia msumari tena [emoji4][emoji4],ila wamejitahidi sana kipindi cha nyuma nyakati kama hizi walikuwa wameshaanzisha choko choko.Mwaka huu hatoki mtu baghosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miundombinu hasa malazi ni muhimu sana kuongezwa maana zilizopo zitajaa sana na kushindwa ku-accommodate.Ikifika winter time ulaya nadhani mbuga zetu zitajaa kupita mfano
Sasa kabila lako linahusikanaje na huu mjadala? Kutangaza kwako kwamba wewe ni jaluo sasa imeondoa ukweli kwamba ulidownload mipicha na kuzituma hapa eti emezipiga mwenyewe?Nahisi labda hufahamu mimi ni mjaluo by nature mama yangu ni mtu wa kenya(k'ogello) nina ujomba na Barack Obama,mjomba wangu anafanya kazi JKIA nimeshaenda Nairobi sio chini ya mara tatu,Kisumu zaidi ya mara 7 na mombasa natarajia kwenda August.....sasa wewe endelea kukaa hapo Migori halafu uendelee kupiga domo hapa JF kuwa Nairobi au Dar ya 80-2000's ndio Dar ya 2010's-2020's...Dar inapanuka sana tena sana nina wajomba zangu uwa wakienda dar wanabaki midomo wazi hawaamini wanachokiona..........Be open minded
Nimekuambia huo uharo wa nyumba za gebo zenye bati nyeupe haifikii hata Milimani ya Nakuru. Sijataja Nairobi au Mombasa mahaliso mwanza inashindana na mombasa + nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha tu nicheke