Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kalilie kwa choo, mji uko na malls mingi kuliko Mwanza unasema nini wewe, iko na interchange mbili. Mwanza haina ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Malls.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nmekwambia 99% ya majengo yote ya CBD Mombasa ni ya 1800s, ukiacha hayo majengo kuna residential area ambayo 40% ni nyumba za udongo, 30% ni nyumba za mabati, 20% ni guest houses, 3% middle class and the last 7% ni mageto ya wahuni na malaya wanaojiuza ukibisha nakuletea evidence.
Wishful thinker๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.., inauma kuona Town coverage ya Mombasa ni kubwa kuliko ya Dar is slum ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
1655806299791.png

1655806392901.png

1655806326179.png

1655806355066.png
 
Not Mwanza, Dar's rich estates haziwezani na Nyali, in aesthetics na size, the lady didn't bring the whole Nyali as I know it, kuna sehemu mingi amewacha, u can't just walk anyhow, and photography is restricted, Afrikan Traveller alinyang'anywa camera, he didn't know Mombasa sio kama Nai, security hapana mchezo coasto., places mob u can't fly drone.,
I think the restrictions all boil down to rampant terror attacks at the coast. Though hata Nairobi kuna sehemu huwezi fly drone, Muthaiga being one of them
 
Nmekwambia 99% ya majengo yote ya CBD Mombasa ni ya 1800s, ukiacha hayo majengo kuna residential area ambayo 40% ni nyumba za udongo, 30% ni nyumba za mabati, 20% ni guest houses, 3% middle class and the last 7% ni mageto ya wahuni na malaya wanaojiuza ukibisha nakuletea evidence.
You have a very miserable life, Nairobi inakukosesha usingizi tena unaongezea Mombasa. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Chunga sana usikufe na stress.
 
Umeongea vizuri kaka, ngoja niongezee na mimi kidogo.

Tukiendelea na huu utaratibu wa watu wajenge nyumba hatutafika, mashirika ya serikali kama watumishi housing, nhc jeshi, tba nk yana uwezo wa kujenga nyumba ila saa nyingine inakuwa ngumu kupata wateja sababu watu wanajijengea.

Ili kuondoa makazi holela serikali izuie kwa sasa watu kujenga then iweze she makampuni kama nhc nk yajenge nyumba kwa Kuanzia serikali ikubali hasara au nusu hasara, kwa mfano itoe bilioni 100 kila mwaka kwa tba, nhc nk wajenge nyumba kwa sharti la kuvunja sehemu zilizo hovyo kama wslivyofanya magomeni kisha wananchi walioathirika wa napata nyumba zinazobaki wanauza au kupangisha.
Tujenge maghorofa, ujenzi wa nyumba za chini sio mzuri unafanya miji inakuwa mikubwa na Hatuwezi kupeleka barabara maji na umeme.
Mfano ukijenga maghorofa 10 ya floor 10 kila moja na kila floor inachukua familia 2 maana yake jengo moja litakuwa na familia 20,majengo 10 familia 200.
Ukijenga nyumba za chini 200 utachukua eneo kubwa sana na utahitaji mitandao ya maji barabara na umeme nk.

Watu wansobomolewa nyumba kupisha miradi wasilipwe fidia ila serikali ijengwe nyumba wahamishiwe kwenye hizo nyumba, fidia ilipwe tu kama kilichohusika kwenye mradi sio nyumba ya kuishi.

Sheria za miji ziheshimiwe, si kila nyumba ilio pembeni ya barabara basi iwe na frame(s)
Kuwe na maeneo maalumu ya biashara.

Nyumba kama za wamasai handeni zinatosha kwa watu wa hali ya chini, zikijengwa kama zile 1000 kila mwaka kureplace makazi holela nazo pia zitasaidia.

Haya ni mawazo yangu, hii sehemu ya makazi Magu hskuigusa, ni Wakati Wa mama kujichukulia ujiko eneo hili.
Kwani majengo holela ni kwa vile watu wanajenga peke yao au kushindwa kwa serikali kupima ardhi nchi nzima? Huwezi kuzuia watu kujenga! serikali na mashirika yajenge na wakati huo huo serikali isiache kupima ardhi na kuisimamia kwa wale wanavunja mipango iliyosimamiwa ya ardhi hiyo!
 
Wishful thinker๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.., inauma kuona Town coverage ya Mombasa ni kubwa kuliko ya Dar is slum ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
View attachment 2267486
View attachment 2267490
View attachment 2267487
View attachment 2267488
Jamaa unapambana kubadili nyeusi kuwa nyeupe, lakini wapi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hii energy kwanini usingaliitumia at least kwenye kutafuta hela utoke kwenye ufukara ulionao.?
 
Nmekwambia 99% ya majengo yote ya CBD Mombasa ni ya 1800s, ukiacha hayo majengo kuna residential area ambayo 40% ni nyumba za udongo, 30% ni nyumba za mabati, 20% ni guest houses, 3% middle class and the last 7% ni mageto ya wahuni na malaya wanaojiuza ukibisha nakuletea evidence.
Huyu kaumia vibaya sana sio utani
 
Blame poor camera quality and did you knw hazina towers the building with the crane walimaliza kujenga kitambo
You mean alileta picha ya Hazina Towers ikiwa bado linajengwa na kusema amepiga picha yeye mwenyewe? ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Huyo jamaa ni kilaza sana! Jana nilimwambia atume screenshot ya location yake kwenye Google Earth. Hajanijibu ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom