Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala usipate naye tabu, yeye mwenyewe anajua fika kwamba 99% ya majengo ya Mombasa ni ya mwaka 1910 kushuka chini, majengo mengi ya Mombasa ni ya mwaka 1800s. Bora ya ka Nairobi kamejaa slums kuliko huu mji mzee uliochoka na wenye majengo ya kizamani yanayofuga majini na viumbe wa ajabu.
New York ina majengo zaidi ya 200 years old., so?., Paris? Vienna Austria..., ziko lit.., na Dar latest design majengo ni less than 10%., yaani ziko level moja na Mombasa tu., besides zile gorofa tatu., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
bado sana.., can't be the best., usiogope to watch the clips., kama ni bando hauna sema nikutumie.,

🤣🤣🤣 Sasa so kitu kilekile umeonyesha brathee tofauti ni zile za kwanza zilikua picha na hii ni video
 
New York ina majengo zaidi ya 200 years old., so?., Paris? Vienna Austria..., ziko lit.., na Dar latest design majengo ni less than 10%., yaani ziko level moja na Mombasa tu., besides zile gorofa tatu., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
🤣🤣🤣 Kwahyo Dar nzima Iko na three blue buildings.?
 
🤣🤣🤣 Kwahyo Dar nzima Iko na three blue buildings.?
Just a cliché meaning the few zenye zinawaondolea aibu., zenye muundo wa kisasa, ila the rest 90% old model!!.., Nairobi has more modern look buildings than Dar by far..,
 
Kwahyo kizingo ni bora kuliko eneo gani DAR kwa mujibu wa maoni yako.? 🤣🤣🤣
What are we talking about kilaza? on average, Mombasa na Dar ni level moja, kuna mazuri Dar kuliko Mombasa na kuna mazuri Mombasa kuliko Dar., they are at par.., na Mombasa iko na bigger town coverage than Dar pia..,
 
Kitu pekee kizur kwa hii town ya eldoret no hiyo tower moja the rest ni gorofa za udongo 🤣🤣
Kalilie kwa choo, mji uko na malls mingi kuliko Mwanza unasema nini wewe, iko na interchange mbili. Mwanza haina 😂 😂 😂 😂 😂
 
New York ina majengo zaidi ya 200 years old., so?., Paris? Vienna Austria..., ziko lit.., na Dar latest design majengo ni less than 10%., yaani ziko level moja na Mombasa tu., besides zile gorofa tatu.,
Nmekwambia 99% ya majengo yote ya CBD Mombasa ni ya 1800s, ukiacha hayo majengo kuna residential area ambayo 40% ni nyumba za udongo, 30% ni nyumba za mabati, 20% ni guest houses, 3% middle class and the last 7% ni mageto ya wahuni na malaya wanaojiuza ukibisha nakuletea evidence.
 
What are we talking about kilaza? on average, Mombasa na Dar ni level moja, kuna mazuri Dar kuliko Mombasa na kuna mazuri Mombasa kuliko Dar., they are at par.., na Mombasa iko na bigger town coverage than Dar pia..,
Wacha kunya we jamaa kuna mazur yepi mombasa yenye ni zaidi ya DAR.? Heb leta hapa nicheke 🤣🤣
 
Back
Top Bottom