Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 600
- 1,769
Hii picha ni ya lini?
Mpaka sasa nipo Nairobi na sio mara ya kwanza kuja huku mabandani...halafu Nairobi sio sehem ya kusema au kujisifu kama vile ni Ulaya me napachukulia kama Dodoma tu hakuna tofautiOmera wewe unadowload picha kubali yaishe. Hiyo picha ya Tom mboya statute haifanani hivyo kwa sasa. Sema tu unatamani kufika Nairobi
Pia hilo eneo ni Kiashiria cha income inequality. There’s a clear line separating the leafy, planned Oysterbay and Masaki from Msasani and Namanga (the slums). Also, I always wonder why the most posh parts of the city are primarily expat neighborhoods. There isn’t any other “affluent” part of the city that could be placed in the same category as Oyster Bay and Masaki. Sad!Dreamhouses hizo 😃😃😃
Huku kwetu hayo ni makazi ya watu wa hali ya chini lakini kwenu hizo ni sehemu za watu wa kipato cha katihamuwezi kua LeastDevelopedCountry na sisi EmergingMarket. kisha sisi tuna slums, nyinyi hamna.. heb check hizi slums in oysterbay..
note: kama kawa mashuzi ya tajiri hayanuki, lakini ya maskini..... 💣💣 💨 fyu.!
View attachment 2266596View attachment 2266597View attachment 2266598View attachment 2266601View attachment 2266602
A sprawling slum-polis is what Dar is. It’s so horrible that it would take decades to correct the mess that exists.Hard truth., so unfortunate, yet in Dar it is sprawling all over like crazy..,
Wivu namuonea nani? I’m objective and honest; most of you aren’t.
Still. 32k of you Tanzanians kenya
MY TAKE
Whao surprised Kunyaland imekosekana...!
Tatizo ni kuwa tunafikiri miundombinu ni maji, barabara na umeme peke yake. Makazi bora pia ni miundombinu. Makazi yaliyopangwa, Yaani makazi yaliyojengwa kutokana na mipango mji ya miji, yataondoa hali duni zinazoonekana Kwa sasaMm nakuelewa.but what do.you think needs to be done...?
My view
1. Kutafuta makazi mapya ..na serikali kujengea watu nyumba nzuri standard na watu kulipa kidogo kidogo bila riba...
Lakini ili hyo ifanyike kwanza we have to deal with other pressing issues ..then tukishajikwamua kwenye issue kama kila wilaya kuunganishwa na lami, kuwa na hospital nzuri na mifumo mizuri ya elimu ..serikali inaweza ikaangalia swala la kubomoa informal houses na kisha ku relocate watu..
2.Inaweza ikafanyika kwa pamoja ..ni kutenga kiasi kidogo cha fedha kama billion 50 to bil 100 kila budget kuhamisha watu na kupanga mji vizuri
Pia mimi nimeona dar hakuna slums bro, kwa standards za kitanzania 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂nani alisema dar kuna slum yani munalazmisha tufanane sasa 🤣🤣🤣
tangu lini ikasemekna dar kuna slum siku ukipata google earth ikionesha slum in dar nitag nifunge acc bro 😂😂👇👇
View attachment 2266553
waaaa 32 thousand omba omba beggars.Still. 32k of you leaches in kenyaView attachment 2266690
Ukitaka na clip iko.., nexthzo ni nyumba za block sio za mabati kma hzi 😂😂👇👇👇👇
View attachment 2266569
utasema mazizi ya nguruwe 🤣🤣
Atleastnot over..., Dar over 75%.., with that big population., na ujue sehemu zote Kenya categorized as slums mingi are way better than your ushamba living 😂 😂 😂 😂 😂5% but inhabitated by over half of the population! Kumbuka nearly 1/3 of Nairobi is a national park! Piga hesabu Mkunya! Leo huchomoki humu ndani!
Hebu tuliza jazba halafu soma kitu ulichokiandika. Ni wapi nimezungumza kuhusu Kibera. Unaweka maneno kinywani kwangu Maana sijazungumza vitu ukivyoandika. Na hiyo chuki unayosema ninayo Una ushahidi? Mimi sina chuki, in fact, I’m being objective here. Ninapoikosoa Tanzania ni Kwasababu napenda kuona maendeleo, sio utoto mnaoufanya nyie, Yaani kufagia uchafu chini ya zuria. Sema ukweli watu wabadilike! Unapotetea uchafu wa serikali, unawapa sababu ya kuendelea na uozo. Watu kama Wewe ni naive Kwasababu unaamini katika extremes. Either serikali ni Nzuri 100% Au mbaya 100%. Wewe unaamini in the former, kuwa serikali inafanya kila kitu vizuri na hakuna room for improvement. Tafakari sana na unatona nazungumza nini.haibadilishi kwa chuki zako au?🤣🤣🤣 yani ww ukiwa na chuki ndio tuamini pumba zako ikiwa kibera iko with 3km from CBM unatuambia hio ni planning
au ww hujui maana ya slums 😂😂 siku ukipata google earth ikionesha slum in dar nitag nifunge acc
View attachment 2266329
You posted a pic ukiwa kwa an old model benz ukaulizwa hapo ni wapi na DON YF, you never answered we are waiting for your answer stillMpaka sasa nipo Nairobi na sio mara ya kwanza kuja huku mabandani...halafu Nairobi sio sehem ya kusema au kujisifu kama vile ni Ulaya me napachukulia kama Dodoma tu hakuna tofauti
Bisha tena sasa hivi nipo mitaa fulani napiga story na baadhi ya ndugu zenu kuhusu hali ya Nairobi yaani hawana amani kabisa na maisha [emoji116][emoji116][emoji116]
Again, a screenshot won’t change the fact that Dar is heavily unplanned. Unakimbia matatizo ya mji wako na kukosoa wenzio, huoni tatizo ulilonalo? FACE YOUR DEMONS! Hakikisha kwako kuko Sawa kabla ya kukosoa Kwa wenzako!jibu langu kwako ni simple tu 🤣🤣👇
View attachment 2266340
pretty sure there r many Kunyans in Tanzania than Tanzanians in Kenyaland!Still. 32k of you Tanzanians kenyaView attachment 2266690
Aya ebu tuonueshe makazi ya watu wa chiniHuku kwetu hayo ni makazi ya watu wa hali ya chini lakini kwenu hizo ni sehemu za watu wa kipato cha kati
That is their problem, and I never denied that Kibera is the largest slum on the continent of Africa. It’s easy to make a single area a laughingstock while forgetting that three quarters of your city is completely in shambles and unplanned. This entire thing isn’t a competition. It’s about calling out the responsible authorities to do their DAMN job!unaeza kufananisha ili tujue ww unaakili kuliko alieweka satellite hewani😂😂😂
View attachment 2266344