Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndo tumekuuliza mmiliki wa master ni nan hujajibu mpaka sasa
yani awe singer singer awe nani but investment iko kenya na imeajiri wakenya wengi sana na wanalipa kodi kenya na wanatuuzia bus sisi tuliolala na kuendekeza uchawa
 
tunatumia 750m ku support miss grant jehan ashinde alafu yeye anapata million 85 alaf tunashangilia 😂😂 uchawa tu ndio kazi iliobakia
Mzee. Siasa zako hizo za maji taka sizitaki. Unaujua moto wangu, nikikugeuzia kibano ninauhakika utaniweka kwenye ignore list. Ninakujua personally na picha zako ninazo. Usinijaribu.
 
wakina nan hao wako mbali, because bmw wanaweza kufungua tawi tanzania but sio kiwanda 🤣🤣🤣 lakini pia huezi kusema bmw ni ya watanzania, sjui unaelewa mandonga?
bmw wataekeza vp na mazingira wezeshi ni mabovu, rushwa na ufisadi umetamalaki, bmw ikiwekeza tanzania itaitwa bmw from tanzania kama tunavoita under licence toyota from kenya and south africa.
 
Mzee. Siasa zako hizo za maji taka sizitaki. Unaujua moto wangu, nikikugeuzia kibano ninauhakika utaniweka kwenye ignore list. Ninakujua personally na picha zako ninazo. Usinijaribu.
mm ni hua nasimama na ukweli na facts mm sio wale machawa wakusifia upumbavu na upuuzi, labda ww ni mgeni sana huku waulize wenzako watakwambia mm ni nani 😂😂😂😂😂😂
 
mm ni hua nasimama na ukweli na facts mm sio wale machawa wakusifia upumbavu na upuuzi, labda ww ni mgeni sana huku waulize wenzako watakwambia mm ni nani 😂😂😂😂😂😂
Huna facts zozote, unaandika uongo na kutaka kuchafua watu usiowajua.
I told you ninakujua binafsi. Na tulishawahi kukutana mara kibao tu lakini wewe hunijui
 
Expansion progress of Siaya County Stadium.

1000443985.jpg
1000443984.jpg
1000443983.jpg


Render
1792654825162.png
 
sasa matusi ndio yatasaidia kuwarudisha nyuma? sisi tumebakia uchawa wa kusifia upuuzi tu all the time, tunatumia 750m ku support miss grant jehan ashinde alafu yeye anapata million 85 alaf tunashangilia 😂😂
Hiyo budget ya 750m iko wapi?

Share hapa ushahidi nikusaidie kupinga.
 
Back
Top Bottom