The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hii ni mall pale Kunyaland
Hii ni mall pale Kunyaland
Kenya is one of the few countries in Africa with stable power.



Testing imeanza kwa makupa bridge. Lane moja imefunguliwa, tazama ukubwa wake
View attachment 2264635View attachment 2264636
DR Congo suspends all bilateral agreements with Rwanda.
Fast food restaurants ni mingi sana Nairobi na kama zote wanauza chips na kuku. Dar haiwezi karibia Nairobi kwa number of fast foods, nyinyi munakula zile kuku mwitu za kuchomwa kwa streets kama Mombasa, Nairobi hizo kuku mwitu ni popular sana kwa low income areas. Middle class suburbs fast food restaurants ndio mingi.
Very beautiful women beat the most ugliest women in the region, Tanzania now beat Kunyaland in at least every aspect of sports.Wanawake wa Tanzania ni mwendo wa minyoosho tu
Hapo sikupingi mtu wangu,upo sawa kabsa Tanzania huwa hatuna muda kabisa na malls,sisi tumeinvest zaidi kwenye masoko ndio maana sub-saharan region sisi tunaongoza kuwa na masoko mazuri na standard kabsa halafu anafuatia Nigeria na SA(Wameinvest zaid kwenye malls kama nyie tu))TOTAL NO. OF MALLS IN KENYALAND.!👇🏽👇🏽
nb:
kenya is only 2nd after south africa in this things.. u know!..
View attachment 2266084View attachment 2266085View attachment 2266086View attachment 2266087View attachment 2266088View attachment 2266089View attachment 2266090View attachment 2266091View attachment 2266092View attachment 2266093
A fool that oneWewe huyuko Nairobi, hii statue ya Tom Mboya sahii iko fenced. Hata huna haya.![]()
![]()
![]()
eti uko Nairobi, kumbe unatamani sana kutembea Nairobi hadi unadanganya eti uko Nairobi sahii.
Ondoa fikra mgando wewe bwabwa,kwa hapa EA na hizi airports EA sifikrii kama kuna yoyote sijawahi fikaWewe huyuko Nairobi, hii statue ya Tom Mboya sahii iko fenced. Hata huna haya. 🤣 🤣 🤣 🤣 eti uko Nairobi, kumbe unatamani sana kutembea Nairobi hadi unadanganya eti uko Nairobi sahii.
Nimegundua 90% ya wakenya waliopo humu JF sio wakazi wa Nairobi....wengi mpo ushagooA fool that one
Hii ni mall pale Kunyaland
ombaomba? hahahhaha angali tukizuia mzigo saa moja tu unga unapanda, mkipunguziwa route za KQ DAR tu mindege yenu ya mkopo karibu yote yanapackHow did u arrive at 90%?.., so you mean eti 90% of the over 500 investments zime collapse ama ni wishful thinking? sio hawkers na omba omba ukumbuke, these have created employment na wanalipa ushuru, if true Tanzanian economy is dying.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
I don't think you have better markets than us either.Hapo sikupingi mtu wangu,upo sawa kabsa Tanzania huwa hatuna muda kabisa na malls,sisi tumeinvest zaidi kwenye masoko ndio maana sub-saharan region sisi tunaongoza kuwa na masoko mazuri na standard kabsa halafu anafuatia Nigeria na SA(Wameinvest zaid kwenye malls kama nyie tu))
Naona unaongea kwa kuropoka tu,Markets nyingi za kenya ni kama public toilet kwa huku Tanzania.....Imagine hapa ni Gikomba Market Nairobi halafu ndio ufananishe na masoko ya Bongo??I don't think you have better markets than us either.
Sio vibaya kua ushago lakini mimi ni mkazi Nairobi. Currently niko cbd mishe zanguNimegundua 90% ya wakenya waliopo humu JF sio wakazi wa Nairobi....wengi mpo ushagoo
Originally from Kirinyaga county. Ushago Kirinyaga kuna lami kilometer nyingi kuzidi Dar. Kirinyaga is roughly the same size as Dar. Checki hiyo tarmac road network.Nimegundua 90% ya wakenya waliopo humu JF sio wakazi wa Nairobi....wengi mpo ushagoo