Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dyfre upo sahihi. South Africa is one of the most unequal societies in the world. Huwezi kucompare inequality ya SA na ya Kenya. South Africa is usually regarded as the most unequal country in the world. The higher the gini coefficient, the more unequal a country is. Kenya's gini coefficient of 0.40 is moderate. South Africa's gini coefficient is 0.61 which is pretty high.

Cc joto la jiwe
Kweli huwezi kulinganisha na sababu ipo wazi kwamba SA ilijikomboa kutoka kwenye mfump kandamizi in 1994 wakati Kenya ni 1963, hata hivyo Kuna juhudi kubwa Sana zinazofanyika kupunguza hiyo tofauti, likiwemo suala la kuchukua ardhi na migodi toka kwa wachache na kuvikabidhi serikali.

Kenya kwa Sasa ni miaka 50 tangu mlipojikomboa, hakuna juhudi zozote za kurekebisha suala la ardhi, kilichofanyika Kenya baada ya 1963 ni "politician" kugawana umiliki wa ardhi na wazungu waliokuwepo( Kenya not yetu uhuru, by: J.Odinga).

Kenya inafuatia nyuma ya South Africa katika orodha za Nchi zenye gap kubwa la kipato Kati ya masikini na tajiri, hiyo ndiyo "legacy" ya uchumi wa kibepari

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Your source is tomato sauce kama kawaida.
 
haibadilishi kwa chuki zako au?🤣🤣🤣 yani ww ukiwa na chuki ndio tuamini pumba zako ikiwa kibera iko with 3km from CBM unatuambia hio ni planning

au ww hujui maana ya slums 😂😂 siku ukipata google earth ikionesha slum in dar nitag nifunge acc

View attachment 2266329
Ulaya 😃😃😃😃😃😃
Screenshot_20220607-220745~2.png
 
Hivi Nairobi hakuna sehem ya kutupia takataka? Nkmetembea sana huu mji lakini nimekuta sehem chache sana nahisi mna kazi kubwa sana ya kuusafisha huu mji wenu
 
Attachments

  • IMG_20220619_135120.jpg
    IMG_20220619_135120.jpg
    157.6 KB · Views: 9
Hivi Nairobi hakuna sehem ya kutupia takataka? Nkmetembea sana huu mji lakini nimekuta sehem chache sana nahisi mna kazi kubwa sana ya kuusafisha huu mji wenu
Kaka wewe wawezadhani huo ni uchafu, kumbe ni mfereji maalumu wa kupitisha chupa zilizotumika, 😄😄
 
2.5 million 🤣 🤣 🤣 🤣 hio ingekua county kivyake. Usiwe mjinga bana. Over 75% of Dar is a slum households are informal settlements. In Nairobi less than 6% of the land is covered with informal settlements.
Achana na huyo mjinga. He can't even take time to reason and ask a simple question like how the hell on earth can 2.5 million people fit in an area measuring just over 2.5 square kilometers! That's a population density of a million people per square kilometer! Ujinga zingine ni za kupuuza tu
 
Sasa unalia nini?, hiyo namba hajaitoa kichwani mwake, wewe ilipaswa kupinga kwa data, sio kwa kutumia machozi na kamasi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
jibu langu kwako ni simple tu 🤣🤣👇
View attachment 2266340
Yaani kama Uthiru, Riruta, Ruai, eti Ruai 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., Githurai., kama hizo ni slum Dar ni slum 95%.., google earth msema ukweli.., bro Walker255 hana chuki, ako very objective na honest., wewe ukweli unakuuma., not all slumss are slummy as u think., if these areas are slums ina maana mko hovyo zaidi, na liko wazi sana😂😂😂😂😂😂😂

Riruta
1655715786624.png

Kawangware
1655715831093.png

Uthiru
1655715875445.png

1655715913773.png

Kibera slum pale kati kati.., tazama kulia na kushoto yake..., Tanzania haupati such residential in a big way..,
1655715967789.png

Kibera's jirani wa kushoto
1655716050494.png

Kibera's jirani wa kulia
1655716128888.png

Githurai eti ni slum.., tuone kwa ukubwa na upana hii slum ilivyo.,
1655716221047.png

1655716254211.png

1655716288164.png

1655716349139.png
 
Back
Top Bottom