Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi
 

Attachments

  • IMG_20220619_135457.jpg
    IMG_20220619_135457.jpg
    117.4 KB · Views: 9
Wewe huyuko Nairobi, hii statue ya Tom Mboya sahii iko fenced. Hata huna haya. 🤣 🤣 🤣 🤣 eti uko Nairobi, kumbe unatamani sana kutembea Nairobi hadi unadanganya eti uko Nairobi sahii.
Kaka usinichukulie kishama hivo,nishatembea majiji makubwa sana achana na huo uchafu wenu
 

Attachments

  • IMG_20220618_233521.jpg
    IMG_20220618_233521.jpg
    188 KB · Views: 14
Back
Top Bottom