Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hata hivyo watu walipiga sana kwenye huo mradi, huyu mkuu wa mkoa anataka CAG akague, iweje soko kuu mwanza linajengwa chini ya 25b na ni kubwa lina parking tena ni underground, mall imejengwa kwa kama 80b
***'watu walipiga' as in....?
 
Acha ujinga mzee hao wazungu walikua wanamiliki kila kitu Zimbabwe ilhali wenyeji walikua hawana kitu
kubali tu uongozo wa mwafrika ni uharo mzee.. ona pia SA sahizi. the rest of africa has caught up with her, yet iliku imepiga hatua kubwa sana mbele. ona sasa ile aibu kaipata.. ikawa relegated to 3rd position in africa.! kisa...... mwafrika yu afisini
 
Foundation ya zimbabwe ulikua poa sana. at some point in the late 80s, zimbabwe was dubbed the african economic powerhouse, "north of limpopo, south of the sahara". ila uongozo wa mwafrika uharo bhana... mugabe aliidhalighisha sana huo nchi nzuri hadi waleo

View attachment 2265875View attachment 2265876View attachment 2265877View attachment 2265878
Wewe ni mwendawazimu, Sasa ni uchumi gani ambapo watu wachache wanafaidi na wananchi walio wengi wanateseka?, Hivi wewe umefika South Africa, Namibia au Kenya, wewe unadhani ni sawa kweli wakati watu wachache wanaishi Kama wapo peponi lakini wananchi wengi wanaishi katika slums?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania kuwa na Kampasi za vyuo vikuu na vyuo vya Kati Kwenye mikoa yote..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220619-202522.png
    Screenshot_20220619-202522.png
    134.9 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220619-202532.png
    Screenshot_20220619-202532.png
    26.7 KB · Views: 11
Licha ya changamoto, Bandari ya Dar inazidi kufanya vyema na kuongeza idadi ya mixigo inayopita 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220618-124106.png
    Screenshot_20220618-124106.png
    44.1 KB · Views: 10
Wewe ni mwendawazimu, Sasa ni uchumi gani ambapo watu wachache wanafaidi na wananchi walio wengi wanateseka?, Hivi wewe unefika South Africa, Namibia au Kenya, wewe unadhani ni sawa kweli wakati watu wachache wanaishi Kama wapo peponi lakini wananchi wengi wanaishi katika slums?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
kenya sio moja wepo mzee.. Gini coefficient ya kenya sio kubwa, infact inakaribiana sana na ya tanzania. kumaanisha gap ratio ya matajiri na maskini sio kubwa jinsi mnavyo dhania..

Kenya👇🏽
Screenshot_20220619-210854_Gallery.jpg





Tanzania👇🏽
Screenshot_20220619-210743_Gallery.jpg
 
kubali tu uongozo wa mwafrika ni uharo mzee.. ona pia SA sahizi. the rest of africa has caught up her, yet iliku imepiga hatua mingi sana mbele. ona sasa ile aibu kaipata.. ikawa relegated to 3rd position in africa.! kisa...... mwafrika yu uongozini
Wewe jamaa unajidharau sana dhidi ya wazungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kenya sio moja wepo mzee. Gini ratio ya kenya sio kubwa, infact inakaribiana sana na ya tanzania. kumaanisha gap ratio ya matajiri na maskini sio kubwa saaaana..
Gini coefficient inaweza kulingana lakini tayari uchumi wa Kenya umejengeka katika matabaka ya watu, tayari ardhi kubwa yenye rutuba inamilikiwa na watu wachache, wananchi wengi wanaishi katika Nyumba za mabanda, tayari wanasiasa wanajipatia kipato kikubwa kuliko raia wa kawaida. Kwa ufupi uchumi wa Kenya na South Africa msingi wake ni ubepari, mwenye nguvu ndiye mwenye haki ya kuishi vizuri.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Gini coefficient inaweza kulingana lakini tayari uchumi wa Kenya umejengeka katika matabaka ya watu, tayari ardhi kubwa yenye rutuba inamilikiwa na watu wachache, wananchi wengi wanaishi katika Nyumba za mabanda, tayari wanasiasa wanajipatia kipato kikubwa kuliko raia wa kawaida. Kwa ufupi uchumi wa Kenya na South Africa msingi wake ni ubepari, mwenye nguvu ndiye mwenye haki ya kuishi vizuri.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
hataaaa kidogo sikubaliani nawe.. ngoja kwanza Tony254, mchumi. aje hapa atueleze haya mambo kwa kina....
 
Back
Top Bottom