Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geita ina ndinga kali nyingi kuliko Nairobi, right or wrong?

Harusi ya mchimbaji wa dhahabu Geita

tht clearly shows how mafaguli was corrupt.! then alikua na mapendeleo, ubinafsi, na 'ukabila'... 🤔🤔 mbona intl' airport mji mdogo kama geita.... mbona the largest mall tz mwanza..... 🤔 mbona the most state-of-the-art bus terminus in tz mwanza.... alafu wananchi wa kusini; lindi, mtwara, njombe waseme nini..🤔
 
bongo kulikoni.!?

a Least Developed Country👇🏽View attachment 2265732

Vs

an Emerging Market👇🏽View attachment 2265731
Hii picha imeweza.
Screenshot_20220619-160653_Gallery.jpg
 
tht clearly shows how mafaguli was corrupt.! then alikua na mapendeleo, ubinafsi, na 'ukabila'... 🤔🤔 mbona airport geita.... mbona the largest mall tz mwanza..... 🤔 mbona the most state-of-the-art bus terminus in tz, mwanza.... alafu wananchi wa kusini; lindi, mtwara, njombe waseme nini..🤔
😅😅😅 Usiwaonee wivu wa Lake Zone kisa wamebarikiwa utajiri wa kutisha ikakufanya umchukie JPM, hata Northern Tanzania na wenyewe wanao matajiri wao kwenye Tanzanite, sasa na hapa utasema nani ni corrupt? 😅😅😅

tht clearly shows how mafaguli was corrupt.! then alikua na mapendeleo, ubinafsi, na 'ukabila'... 🤔🤔 mbona intl' airport mji mdogo kama geita.... mbona the largest mall tz mwanza..... 🤔 mbona the most state-of-the-art bus terminus in tz mwanza.... alafu wananchi wa kusini; lindi, mtwara, njombe waseme nini..🤔
Halafu Geita sio mji mdogo kama uliyosema, ni Halmashauri inayojitosheleza na inaingiza pesa nyingi kwenye mapato ya serikali kutokana na shughuli za madini na kilimo

Screenshot_20220619-164417.png
Screenshot_20220619-164450.png
Screenshot_20220619-164518.png
Screenshot_20220619-164605.png
 
ichoboy01 Russia imeanza kutumia tank nzee ya T-62 vitani. Hii tank ni more than 50 years old. Yaani T-72 na T-80 tanks za Russia zimeangamizwa sasa wameamua kurejelea tanks zao za zamani
 
Champions League na Confederation Cup za Africa zitaanza 12 August😍😍

Screenshot_20220619-173455_WPS Office.jpg

I hope Yanga, Simba, Azam, Geita Gold/Namungo au Coastal Union (endapo atashinda FA vs Yanga) zitafika mbali 😍💪
 
tht clearly shows how mafaguli was corrupt.! then alikua na mapendeleo, ubinafsi, na 'ukabila'... 🤔🤔 mbona intl' airport mji mdogo kama geita.... mbona the largest mall tz mwanza..... 🤔 mbona the most state-of-the-art bus terminus in tz mwanza.... alafu wananchi wa kusini; lindi, mtwara, njombe waseme nini..🤔
Mall ya mwanza imejengwa kipindi cha kikwete, magufuli kwa Taarifa yako wala asingeruhusu mall ijengwe.
Stendi zimejengwa nyingi tu. RUVUMA kuna stendi, sumbawanga, Iringa, dar, korogwe, Tanga, simiyu, dodoma, nk;
 
🤔 lakini mbona basi magafuli asingeruhusu mradi kama wa mall kujengwa.!??
 
Foundation ya zimbabwe ulikua poa sana. at some point in the late 80s, zimbabwe was dubbed africa economic powerhouse, "north of limpopo, south of the sahara". ila uongozo wa mwafrika uharo bhana... mugabe aliidhalighisha sana hio nchi nzuri hadi waleo

images (6) (1).jpeg
Screenshot_20220619-210529_Gallery.jpg
images (1).jpeg
dry-season-bush-fires-cause-hazy-skies-over-capital-city-harare-harare-province-zimbabwe-2BH8JRY.jpg
 
Rocky City mall imejengwa na social security fund ambazo Magufuli alizielekeza ziachane na real estate business na wahamie kwenye ujenzi wa viwanda
Na hata hivyo watu walipiga sana kwenye huo mradi, huyu mkuu wa mkoa anataka CAG akague, iweje soko kuu mwanza linajengwa chini ya 25b na ni kubwa lina parking tena ni underground, mall imejengwa kwa kama 80b
 
Back
Top Bottom