Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Being a capital/heaquater of anything is no big deal kijana. Dodoma is your capital city, is it developed or better than Dar?

I said it beats Kisumu in hotels because it is the the heaquaters of the EAC. Read to understand
Wacha ujinga hotels r there b'se of vibrant tourism!
 
Tumia hizi, upunguze maumivu. 🤣🤣🤣

Why This Guy Always Carries Tampons (and Thinks Other Men Should Too) |  Glamour
😆eti "haya basi.. shika hii...." 😆😆😆

(sasa swali langu ni jeee.?....... The best 007 atatumia aje hii kitu?.. lol.! ama ndo kidhibiti uharo.!🤔🤔🤔🤔🤔 malimwengu aisee... )
Screenshot_20220618-010523_Photos.jpg
Screenshot_20220618-010532_Photos.jpg
Screenshot_20220618-010550_Photos.jpg
 
Uchumi wa mchongo TU huo Kuna vinngi having GDP kubwa lakini watu wake maisha ni Bora.
ya mchongo namna gani, na ilhali Worldbank na IMF ndo wanao peana hizi tarifa kila mwaka.! sawa tu na nyinyi, pia sisi hatujui lolote, nivile tumejipata tume orodheshwa pale.

nb: alafu chenye kinanibamba zaidi, ni vile idadi ya kenya ni ndogo zaidi. Ke52M against Tz61M. alafu gdp yetu ni tz+ug+rwa... nikama lastborn kuipiku firstborn.! yani inanimbamba ile mbaya babu💰🔥🔥💥
 
Google earth hii hapa hutaki au?View attachment 2263931
Hiyo picha iko kwa umbali gani? Yani unaweka Ile taken from very far away kupotosha, kwa vile mkileta picha za karibu inaonekana vizuri looking classy and sophisticated, jnia kwa umbali na kwa karibu ni muonekano wa maduka, godown ama Banda la kuku., ni angles na filters na domo domo mtatumia kuikweza, ila haikombimoleki, iko vile ilivyo😂😂😂😂😂, vumilia mjukuu, naelewa haya maumivu, na bado😂😂😂😂
 
Am speechless...we lost a true son of Africa, ht km hana kauli tena bt kazi zake zitaendelea kuongea kwa miaka mingi sana ijayo...history will remember him...Jiwe walilolikataa waashi litakua Jiwe kuu la Pembeni
Kama asingekuwa jiwe Kuna wilaya barabara za lami wangekuwa wanaenda kuzishangaa mikoani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom