Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Haya ni mawazo yatokayo kwenye kichwa kisicho na elimu .. dini inatufundisha "ukitenda ovu lifuatishe kwa Jema litafuta, na changamana na watu kwa tabia njema" kama ni hivyo basi, vip wewe useme kwamba mtu anaweza fanya mema 100k lakini yakazidiwa na mabaya 100.. you must be ignorant, karibu darasa huru utoe huo ujingaKumbe wewe jamaa ni mjinga kiasi hiki. Mpende binadamu mwenzako utakavyo lakini huwezi kujuwa matendo yake anayofanya kwa siri. Inawezekana kweli mema yake ni 100,000 na mabaya yake ni kumi lakini kila jema lina mizani yake na mabaya ni hivyo hivyo. Inawezekana hayo mabaya ingawa kidogo lakini yakawa na uzito mara 100 ya hayo mema yake,

