Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kipoison kimekula kichapo, jamaa zake wote wamekimbiana 😂😂😂 hakuna mwenye pumbu za kuilinganisha na Chuga ..
I told you it's Kisumu culture, just like uswazi ni Swahili culture. In fact Kisumu remains the only town in Kenya that boda bodas are still operational if I am not wrongHizo za ughaibuni zinapakiza abiria?
Sasa kumaanisha there's no development in Arusha? Where are the things that touches the common mwananchi?Hivi nikiweka projects kama hizi 👇we utaonyesha nini hapo Kisumu au utanisumbua akili tu 😂😂😂 we bwana shindanisha kipoison at least na Moshi ndio level zake heb ona 👇View attachment 2264220View attachment 2264221View attachment 2264222kwa mfano we utaonyesha nini hapo Kisumu.? au unataka kuchekesha watu.? 😂😂
Mwenzako alianza kwa kusema kwamba hata football mpo mbele yetu nikamkumbusha kwamba even last time Kenya and Tanzania met in a competitive game, tuliwanyorosha, na rankings za FIFA pia tumewazidi.Ngoja nichangie kidogo hapa..mana football/soccer is my fav hobby 😅..
Rankings za FIFA zinatokana na matokeo ya mechi za timu za taifa kwenye calender ya FIFA (yan hizo mechi zinaratibiwa na FIFA).. most times timu za taifa zinafanya vizur sababu ya uzoefu wa wachezaj kimataifa.. mfano Brazil iko juu ya England kirank za FIFA lkn league ya England ni kubwa, maarufu na yenye hela kuliko league ya Brazil..
short point ni kuwa hata wachezaj wenu wako tayar kuja kucheza ligi ya Tanzania kuliko kubaki kenya.. sababu ligi yetu ina hela, interests kubwa na maarufu kuliko yenu.. so ligi yetu ni kubwa na tajiri kuliko yenu..thats the point inayozungumziwa humu ndan
Arusha is one of the fake urban centers I have ever seen. Haina important infrastructures.Kipoison kimekula kichapo, jamaa zake wote wamekimbiana 😂😂😂 hakuna mwenye pumbu za kuilinganisha na Chuga ..
Kabla ya kuhidhinisha hizi pesa ni vema Tanzania tungerudi kuwa wanachama wa hii mahakama, Tanzania tulijitoa (hatukuamini hii mahakama), ndio sababu ya serikali iliyopita kutotoa pesa.
Najua wewe itakua mjaluo ndio maana unaipamba kipoison,ngoja mkikuyu aje athibitishe hili unaloongeaI told you it's Kisumu culture, just like uswazi ni Swahili culture. In fact Kisumu remains the only town in Kenya that boda bodas are still operational if I am not wrong
Wewe ni maembe tu!Najua wewe itakua mjaluo ndio maana unaipamba kipoison,ngoja mkikuyu athibitishe hili unaloongea
Angalia "ranking" ya CAF, ligi ya Tanzania ipo nafasi ya 9 kwa ubora Afrika, na nafasi ya 4 kwa umaarufu AfrikaMwenzako alianza kwa kusema kwamba hata football mpo mbele yetu nikamkumbusha kwamba even last time Kenya and Tanzania met in a competitive game, tuliwanyorosha, na rankings za FIFA pia tumewazidi.
As usual, akachange gear hewani na kuquote price money ya ligi between these two countries. Again, I reminded him that league performance is not a factor in ranking football powerhouses and used England as an example.
About players, Kenyan league had been the go-to league for many regional players until a few years back. Players from Rwanda, Uganda and even Tanzania flooded our league. Some came from as far as Ivory Coast. England players play even in foreign leagues, does that mean English league is a shitty one?
This narrative that your league is popular sijui mnaitoa wapi. Kwenye swala la michezo nyinyi ni wazembe sana and you know it very well
Culture of poverty?I told you it's Kisumu culture, just like uswazi ni Swahili culture. In fact Kisumu remains the only town in Kenya that boda bodas are still operational if I am not wrong
Sawa sawa bongolala. Happy now?
Ukraine kupata EU candidate status ni jambo kubwa sana. Sijui kwa nini wewe huelewi hilo?mbona wameshindwa mpaka sasa wamebakia kuongea tu mdomoni kama mbwa koko 🤣🤣🤣🤣
JNIA kwa umbali huo litaonekana kama ligodown hivi 😂Hiyo picha iko kwa umbali gani? Yani unaweka Ile taken from very far away kupotosha, kwa vile mkileta picha za karibu inaonekana vizuri looking classy and sophisticated, jnia kwa umbali na kwa karibu ni muonekano wa maduka, godown ama Banda la kuku., ni angles na filters na domo domo mtatumia kuikweza, ila haikombimoleki, iko vile ilivyo😂😂😂😂😂, vumilia mjukuu, naelewa haya maumivu, na bado😂😂😂😂
Huyo anajua maana ya neno expressway kweli?Eti expressway 😂😂😂😂😂, unajua maana ya expressway? Ziko mbili tu in East Africa, Kampala - Entebbe na Nairobi., na pia Kuna superhighway moja tu EAC., 😂😂😂😂😂
Ukiona linaongea hivyo ujue lishaumia 😂😂😂Unaumia bana😴😴😴, ni Mombasa hiyo, sio Nairobi.😂😂
Kijiji kipya cha wamasai huko Handeni Tanga kinaweza kupambana kabisa na suburbs za Runda bila matatizo yoyoteUlaya eti! 😂 😂 😂 😂 View attachment 2264448
Sawa sawa bongolala. Na hiyo ulaya Vingunguti kinaweza pambana na mtaa ipi hapa Kenya? 😂Kijiji kipya cha wamasai huko Handeni Tanga kinaweza kupambana kabisa na suburbs za Runda bila matatizo yoyote
View attachment 2264458View attachment 2264459View attachment 2264460View attachment 2264461
Muhimu ni kwamba wale wamaasai toka Kenya wameumbuka, hawawezi kuhamia Handeni, watalazimika kurudi Kenya ambako ardhi yote nzuri kwa malisho ipo chini ya wazungu na politiciansSawa sawa bongolala. Na hiyo ulaya Vingunguti kinaweza pambana na mtaa ipi hapa Kenya?![]()