Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ni unyanyasaji sasa kwa wananchi kila kitu kiwe kulipia lipia tu,unafuu uko wapi kwa mwananchi kumpunguzia makali ya maisha?
Lipa Kodi hakuna kuchekeana msimu huu..

Mnapenda Sana kudai huduma nzuri ila kulipa Kodi hamtaki..

Shikilia hapo hapo Mwigulu na hakikisha kila Mtanzania mwenye age kuanzia age 18 and above anakuwa na TIN namba 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220614-194413.png
    Screenshot_20220614-194413.png
    83.3 KB · Views: 9
Leo ndio mara ya kwanza mkenya anakimbia battle ya kuonyesha mitaa zao 😂😂 amejificha kwenye kichaka cha airport na soko
Mimi nakupeleka pole pole, after fire station nakupeleka Kwa bus station. Huko residential area tutafika tu na utaanza kulia venye unalia hapa😂😂
 
Mitaa zote wakaazi wanalalamika tu. 🤣🤣🤣🤣 Hii Dar haina barabara za lami ndio hua munataka kufananisha na Nairobi.

 
Tunahitaji pesa Ili kuendelea kufungua Nchi,lipeni Kodi hakuna maendeleo ya kushushwa na mvua 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220617-130314.png
    Screenshot_20220617-130314.png
    272.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220617-195743.png
    Screenshot_20220617-195743.png
    305.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220616-200704.png
    Screenshot_20220616-200704.png
    245.5 KB · Views: 11
Waziri Mchengerwa apokea jezi yenye jina la Rais SSH kutoka kwa club ya Sauthampton👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220617-194929.png
    Screenshot_20220617-194929.png
    161.2 KB · Views: 13
Back
Top Bottom