Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Andamaneni mwaka mzima waandikieni barua wazungu wenu wawasaidie kuandamana pia.Ngorongoro sio Kenya
Screenshot_20220616-044938.jpg
 
[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji1139][emoji1139][emoji1139]
Screenshot_20220616-051653.jpg
 
Kisumu kwa real estate has no match. Leafy suburbs safi sana. Wachana na hizo town zenu munaishi CBD na vinyozi, ju hakuna planning. 🤣🤣🤣

274828274_440101454471941_270043636132434994_n.jpg


May be an image of tree and sky
May be an image of sky
Hii ndio planning? 😅😅😅😅

Na ndio maana tofauti na CBD hakuna picture nyingine ya kisumu mnaweza weka sababu slums zimetapakaa, kwenye planing kunyaland haiwezi hata siku 1 ikaipita Tanzania

Screenshot_20220602-212711.png
Screenshot_20220602-212638.png
Screenshot_20220407-043428.png
 
Kitu Wakunya huzingatia ni Asian owned and muzungus owned properties like estates, malls and tall buildings lakini their very own things hawana habari navyo kabisa

Angalia general hospital ya kisumu 😂😂😂😂

images - 2022-06-16T062438.085.jpeg
images - 2022-06-16T062454.894.jpeg
images - 2022-06-16T062511.276.jpeg
images - 2022-06-16T062540.790.jpeg
images - 2022-06-16T062558.814.jpeg
images - 2022-06-16T062630.413.jpeg
 
i swear before God.. zunguka tanganyika yote from, darslam, mwanza, arusha, tanga, mbeya, dodoma, iringa, morogoro, moshi, tabora, kigoma, lindi, njombe, geita, sumbawanga, shinyanga, tarime.... zunguka tz yote.! hautapata streets safi kama hizi za kisumu.

(hizi photos mwenyewe nimepiga na simu yangu)

nb: kisumu na kigali pekee hapa east africa ndo mandugu wa toka nitoke tukija kwa swala la usafi.!

kisumu clean and smart cityView attachment 2262205View attachment 2262119View attachment 2262118View attachment 2262121View attachment 2262122View attachment 2262088View attachment 2262090View attachment 2262116View attachment 2262114View attachment 2262111View attachment 2262106View attachment 2262093
 
Kutoka rate ya 6-7% mpk rate ya 4-5%..
Hatutokfika kwa spidi kubwa kwa rate hii

Wewe ni mbumbumbu wa masuala ya Uchumi,kajikite kufunga kufunga transfoma Economics tuachie wenye taaluma..

Moja ya jambo naipongeza serikali ni hili ,wametembea kwenye Maoni yangu ya miaka mingi..(rate inatakiwa kuwa 5-8%)

Huwezi kuweka inflation kwenye target ya below 5%,huko ni ku apply contractionary policies ambazo haziwezi kuza uchumi kwenye Developing countries..
 
nmesoma hii habari ..so last year tz GDP was 161.5 trillion which is 70 bil usd ....so kwa 4.7 means we will go to 73 to 74 bil usd

gdp per capital 2.79m around 1200 usd

we should be growing 7 to 10 percent for significant effects

wanadai vita ya ukraine but mm naona still we can pull 7% if we follow up na agriculture plan ya bashe..na if we can pull big mining deals...

am not worried with 4 to 5%

i know if we complete SGR Dar Mwanza na ports za ku link Congo we will have lump sum growth ..kuna project nying zinazoendelea kwa pamoja zitazotupa lump sum growth

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Na hiyo growth rate ni ya 2022 sio 2022/2023..
 
Back
Top Bottom