Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Low budget bangladesh.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji1664][emoji85][emoji87]
Screenshot_20220416-092548.jpg
 
Hapa ndipo huwa wanapiga picha za upande upande alafu wanaongopea watu, sasa oneni jinsi palivyo, nimewawekea one place in different angles muone uongo wao, yn tu maendeleo ni kidogo sana tu ghorofa tuwili tutatu twa mchina basi kelele kibao, ona [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220616-010340.jpg
Screenshot_20220616-005116.jpg
Screenshot_20220606-114523.jpg
 
Hizi nyumba ndogo za squatters katikati ya jangwa ndio unataka kufananisha na mansions za kisumu. 🤣 🤣 🤣 Zima hio kitu.

Screenshot_20220128-020559_1.jpg
Nilifkiri ungeleta kitu zaidi ya hiki, kumbe umekuja na maneno matupu 😂😂😂 zikiwa NAIROBI nyumba kama hizo zinakua ni nyumba tu kawaida and u ar bragging of having them, lakini kwasababu sahii zinaichapa Kisumu ati ni squatters 😂😂 very funny
 
Nairobi gani watu wajengewe nyumba tudogo hivyo nikama nyakati za ukoloni. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom