Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

but are you realy sure Diamond has a Net worth more than $10M ahead Lupita.? an Oscar Winner.!?...
a Lead actor in TheBlackPanther blockbuster.. the 12th highest grossing Movie of all time.!!

prove me please. i ll be more than grateful

View attachment 2226904






hivi mtumzima tajika kutuonesha hard cash kama hii live ili mradi watu waone kua kweli ako na pesa ni ushamba wa aina yake.! ana kosa advisor huyu mtoto
View attachment 2226914View attachment 2226913
Ngoja niingie chimbo nakuja.
 
Wacha upuuzi. Kwanza, Baba ya Lupita ni mtu maarufu sana Kenya. Baba ya Lupita ni governor wa Kisumu kwa jina Professor Anyang Nyong'o. Lupita alizaliwa Mexico wakati baba yake alikuwa anafundisha katika university huko Mexico.

Pili, huyu hapa ni Lupita akifundisha wazungu jinsi ya kupika Ugali akiwa Kenya baada ya kurudi nyumbani baada ya yeye kushinda Oscars huko Marekani. Vogue, magazine inayoheshimika duniani ilimfuata hadi Kenya ili Lupita afundishe mafans wake jinsi ya kupika ugali.

Yote sawa lakini lupita hana any sense of recognition compared to diamond, hana any success in her career compared to diamond as well
 
Yote sawa lakini lupita hana any sense of recognition compared to diamond, hana any success in her career compared to diamond as well
Diamondplatnumz, africa ndio... majuu hapana.!

Lupita majuu ni moto ya kuotea mbali🔥🔥.. nenda marekani ama yuropa
 
Kuna kenge alisema hizi tunatoa kwao

IMG_7221.jpg

IMG_7219.jpg

IMG_7220.jpg

IMG_7218.jpg
 
Huyu mama ni mazungumzo tu vitendo ni sifurikwake mambo ya kipumbavu ndiyo ya msingi naya msingi kwake ndiyo upumbavu , mfano muvi ya utalii ...unashawishiji utalii bila kuzingatia usafi wa nchi sasa hivi nchi inanuka kwa uchafu wakuu wa wilaya na mikoa wanakaa bila kufanya kazi yoyote, ni vema wakuu wa mikoa wawe wanachaguliwa kwa kupigiwa kura kila baada ya miaka 3 kama wanatosha au la kwenye hizo nafasi....maana rais akiwa goigoi kila kitu kina zembea , mfano mkuu wa wilaya ya kinondoni na ilala sijui wanafanya kazi gani? Uchafu kila sehemu ,
 
Kweli wananchi complains are based on expectations and not necessarily what you have. Thika road - a road of 40km - alone has 28 footbridges na bado watu wanariot they want another yet kuna jiji fulani wanasema ndio 'the most biggest city in East Africa' lina footbridge less than tano na watu wako tu sawa. 🤣 🤣 🤣 🤣 Reminds me of how my South African friends complain about potholes in their country more than the rest of us when they have it way better. 🤣🤣🤣

img_7215-jpg.2226972
 
90% ya chakula Chenu mnategemea Tanzania na siku zote imported goods are never been cheap, nafikiria tu horohoro kupo hivi, vipi mipaka mingine ambayo ndio ipo busy kuliko horohoro?



90% ya chakula Chenu mnategemea Tanzania na siku zote imported goods are never been cheap, nafikiria tu horohoro kupo hivi, vipi mipaka mingine ambayo ndio ipo busy kuliko horohoro?


Wameanza chokochoko kwa sababu eti wataagiza mahindi nje ya EAC

Screenshot_20220516-192443.png
 
Back
Top Bottom