Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu Water Bus.

images (20).jpeg
DJI_0081-768x431.jpg
images (21).jpeg
 
Ni kweli tupo hovyo kwenye swala la public buildings. Vipi kuhusu hii ofisi ya makamu wenu wa Rais? Naona ni design ya kipekee. Jengo noma sana tena ya linapendeza kwelikweli
View attachment 2261385
And by the way, when did that ugly building receive its last coat of fresh paint?
We pumba kweli nani kakuambia makamu wa raisi ndio anafanya kazi hapo? Hilo jengo ni la tangu 70s hapo kulikuwa na idara mojawapo ya VP office na idara ya madini na nishati miaka ya 80s. Propaganda peleka kibera.
 
Kagame anapokea wakimbizi toka mataifa makubwa! sanction itangoja sana! Ndo maana hatuwacheleweshi na upuuzi wenyu Ngorongoro na Loliondo msije mkaja ku-claim hizo sehemu kama dalili zilivyoanza!

Hao watutsi wanaolazimisha integration FADRC walienda Eastern DRC kama wakimbizi leo hii wana guts za kuanzisha vita! Tunatoa masai wote mkose pa kufikia mbugani! Halafu tuone mkikatiza!
FVKYuMZXsAE3v3e.jpeg

Wanasema kabla 1820 hakukua na kabila la watutsi 🤔
 
Inakaa TRC wanapita humu ndani

FVSZKwrWUAEAuYo

FVSZMVRX0AMmv5U

MY TAKE
Haya madudu ya kununua vichwa viwili na mabehewa 30 (refurbished), yalifanyikaje kipindi cha malaika?

Sio kwamba msimamizi wa mkataba kaingia baridi ? Na sio kama alvokua mwanzo?
 
Hivi huoni aibu? Seabuses ziko mbili hiyo nyingine ni design nyingine!
Sioni aibu wapi? Ulianza na kusema hatuna water taxis, nikakupea jibu, ukarudi kusema ziko mbili pekee, nikakupiga knockout. Sasa umerudi kulia lia tena kama mtoto na we ni mzee. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sioni aibu wapi? Ulianza na kusema hatuna water taxis, nikakupea jibu, ukarudi kusema ziko mbili pekee, nikakupiga knockout. Sasa umerudi kulia lia tena kama mtoto na we ni mzee. 🤣 🤣 🤣 🤣
leta evidence ya yellow seabuses zaidi ya mbili! Usituletee mitumbwi ya uvuvi unaita PAX ferries!
 
Kwa nini miji mingine ya TZ ikikejeliwa wewe huwa umetulia lakini Mwanza ikitajwa tu lazima uitetee? Au ndio ulisomea huko?
Ndio nilisoma, but still siwezi vumilia dharau za kukejeliwa Mwanza mbele ya tinny town kama Kisumu kwasababu naijui Mwanza vizur mno na ni ukweli uliowazi kabisa Mwanza is ahead of Kisumu every single aspect, except interchanges.. Mwanza mwenzake ni mombasa
 
Haha sawa bro.
 
So hapo unataka kufananisha na back up ya utalii iliyopata Tz? Kutaja jina pekee bila kuonesha ni kitu gani mtalii atavutika nacho ndio ufananishe na kutajwa mt Kilimanjaro? Unaumwa mavi wewe

Akaendelee kuhariri Google maps kuondoa slums, vingine aachane navyo tu huyo kondoo.
 
Back
Top Bottom