Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msikiti ni ile ikulu yenu ya Rais design mbovu. Kinachokosekana hapa ni rangi ya kijani tu 😂
images - 2022-06-15T104623.801.jpeg
 
Kwenye public buildings mpo hovyo wala huna la kujitetea

Tukianza kuleta battle public offices hapa hamtoboi!

Ni kweli tupo hovyo kwenye swala la public buildings. Vipi kuhusu hii ofisi ya makamu wenu wa Rais? Naona ni design ya kipekee. Jengo noma sana tena ya linapendeza kwelikweli
images - 2022-06-15T105121.245.jpeg

And by the way, when did that ugly building receive its last coat of fresh paint?
 
Ni kweli tupo hovyo kwenye swala la public buildings. Vipi kuhusu hii ofisi ya makamu wenu wa Rais? Naona ni design ya kipekee. Jengo noma sana tena ya linapendeza kwelikweli
View attachment 2261385
And by the way, when did that ugly building receive its last coat of fresh paint?
Ofisi ya makamu wa rais 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Wewe mbwa si uliwekewa picha ya hili jengo likiwa safi limepigwa rangi upya? But again you were told that the building is not for vice president office, umeshindwa battle unarudia kitu ambacho ushapewa na evidence kitambo kama jana ukaweka Picha ya uchafu mto msimbazi wakati ulishawekewa picha humu za kusafishwa kwake.
 
Ofisi ya makamu wa rais 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Yes that's the office of their vice president. Hawa ndio watu wanataka tufanye battle ya public buildings! Wapake angalau rangi kwenye hilo jengo mbovu
 
Back
Top Bottom