Kila mti minyani inakwea unateleza π π π π π π π πLazima tu mpinge Kila kitu?
View attachment 2260647View attachment 2260648View attachment 2260650View attachment 2260652
Kenya offers garbage tourism as a package within Nairobi tour.View attachment 2260395
Huyo anaepiga picha uchafu ndio sampuli ya watalii wanaoenda kunyaland
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ eti sio Ng'ombe ni Drones.Unajua nilivyoona hizi picha nilishangaa sana, kilichonishangaza ni guts za yule mwehu aliyezileta akisema eti Nairobi Masaai huchunga ngβombe everywhere as long as ana kibali cha Serikaliβ¦..kilichonishangaza kikubwa ni kuona anajivunia watu kuchunga ngβombe hadi CBD, kingine ni guts za kutuambia kuwa na sisi tuige huo upuuzi kumbe hajui kuwa hiyo huruma wanapewa wamasaai Nairobi ni guilty conscience ya manyangβau waliodhurumu ardhi yote ya Nairobi kwa wamaasai na sasa wanapaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Anyways, tuachane na wenzetu wako kwenye post agrarian revolution, inawezekana hao sio ngoβmbe ni drones [emoji28][emoji28]View attachment 2260676
View attachment 2260677
[emoji23][emoji23]
Huu uzi ufungwe, sasa wamebakia kudandia historia tu ili kujikomboa., ona mapicha zenye wanaweka za Nairobi? past tenseππππ sehemu yenye kwa sasa kuna expressway ameweka picha ya Ng'ombe., yaani Kenya ya leo hawana jibu kutoka kwao., tumemaliza mchezo, case closed! π π π πAchana na huyo mjinga. Yani Kisumu imemshtua hivyo π π π
Jamaa boya sana
Huwezi kumchagulia investor biashara ya kufanya ingekuwa ni initiative ya serikali sawa lakini sio.Itakaa sawa kivipi? Majengo hayajengi nchi wala kuongeza income ya watu, kinachotakiwa siyo majengo mazuri mazuri bali ni viwanda vinavyoweza kutoa ajira kwa watu wetu ili kuongeza kipato na kujenga middle class inayoweza kumudu shopping, vinginevyo ni kujenga favela mpya, hao watu wote watawapeleka wapi ? Kuna sababu kwa nini walijenga huko milimani in first place.
Tanzania haihitaji shopping malls wala apartments na skyscrapers bali tunahitaji viwanda, β¦
Wamechoka kabisaa.., ukweli wa hali kamili ya uchumi wao hafifu umeonekana, nothing substantial to show all these years., slow progress.,They are very good at vita na midomo na kulazimisha mambo
Daladala zipo ila daladala siyo vipanya ni mabasi makubwa tu .vipanya ni vile vibasi vidogo ukiingia ndani na kusimama wima uwezi lazima ujipinde mgongo na vina viti vichacheHe he mnaona daladala hizo, lakini ukija JF watakwambia hazitumiki.
Ametoroka, yeye ako hivyo, wako kama watatu humu., they argue against the obvious π π π π π π π πAchana na huyo mjinga. Yani Kisumu imemshtua hivyo π π π
Jamaa boya sana
Hajui tofauti ya daladalana vipanya ...lini tumesema kuwa daladala hazipo mjini ? Vipanya ndiyouwezi vikuta mjiniNani kakuambia dala dala hazitumiki? Hapo kuna BRT inakuja hutoona huo ushuzi tena, sisi tuna akili kubwa hapa EA na ndiyo maana unaona mambo yetu yanaenda, baada ya BRT kupita hapo zen hayo mabasi hutoyaona CBD na ndipo Dar itatangazwa rasmi kuwa one of the few African cities to be organized.
Kuna watu zimelegea kichwani!Huwezi kumchagulia investor biashara ya kufanya ingekuwa ni initiative ya serikali sawa lakini sio.
Very very old pictures, no plastic wastes in Tz nowadays, babayao255 naomba hii picha tafadhali jamaa analeta picha za enzi ya Mkapa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2260631
Wewe ni mjinga sana. Unasema kwamba majengo hayajengi uchumi. Unajua kwamba kuna sector nzima ndani ya uchumi ya kila nchi inayoitwa real estate sector?Itakaa sawa kivipi? Majengo hayajengi nchi wala kuongeza income ya watu, kinachotakiwa siyo majengo mazuri mazuri bali ni viwanda vinavyoweza kutoa ajira kwa watu wetu ili kuongeza kipato na kujenga middle class inayoweza kumudu shopping, vinginevyo ni kujenga favela mpya, hao watu wote watawapeleka wapi ? Kuna sababu kwa nini walijenga huko milimani in first place.
Tanzania haihitaji shopping malls wala apartments na skyscrapers bali tunahitaji viwanda, β¦
Huko Twitter wanararuana!Picha zimepigwa juzi na chombo chao cha habari ila wanatumia nguvu nyingi kuzipinga.
Mbona wasitumie hizo nguvu kupambana na uchafu!
Ni vizuri wakati mwingine kukubaliana na wengine siyo kila wakati mawazo yako ni sahihi, au kila unachokijua wewe ni sahihi kwa wengine. Usipende kubisha kwa vitu usivyovijua unajiabisha.Ofcourse kama wanyama wapo hakuhitaji kuhamishia huko! Usiniambie walikuwapo sijui majangili wakawamaliza! Make it short wanyama hawakuwapo ndo maana JPM akaamuru wahamishwe toka Serengeti kwenda Buigi-Chato NP kama hitaji!
Nairobi ya leo, hiyo sehemu ya Ng'ombe hivi sasaππ.., Kenya 10 Tanzania 3., ππππSasa kama metropolis pana hali hii, countryside panafafanaje wazee wa fuso fabrication economy? πππππ
Aisee wakikuita mkenya pigana
View attachment 2260687View attachment 2260688