Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1793133935110.png

|
hii ni kichaka au mji 😂 😂 😂

1793133946934.png

1793133960283.png
 
Tanzanians tried to copy Mombasa Raha bus which was done by Banbros, just seen the difference 😂😂😂

1000450823.jpg
 
dunia ya leo huwezi kuficha facts sasa machawa kazi yao ni kusifia even if its not true yani wao kazi yao ni kugeuza ukweli kua uwongo nothing else, dunia hii ya leo with modern globalization utamdanganya nani hata mtoto wa miaka mitano anajua mambo mengi tofaut na mtoto wa miaka mitano ya huko 80s.
💯 😁
 
bidhaa gani unapeleka mchele zaidi ya huo mchele ambao unakwenda south sudan, bidhaa gani inatoka tanzania from our industries inaenda kenya zaidi ya machungwa na sio juice ya machungwa from the factory? mm bahat nzuri nimetembea nchi zote kitu nimekuta kenya from our factory ni azam energy nothing else lakini leo nenda kwneye supermarket zetu kama sio 30% basi 25% bidhaa zinatoka kenya na hili haliitaji ushahidi

hzi ni baadhi tena nimepita supermarket haya niambie nn ww unapeleka kenya kutoka kiwandani? zaidi tunapeleka mchele kwenye magunia wao wana repackage made in kenya wanauza south sudan kwa bei kubwa

this is so painful hawa jamaani very smart kichwani wanajua kutumia fursa hata kama sio yao but they will force it

View attachment 3699884View attachment 3699885View attachment 3699886View attachment 3699887View attachment 3699888View attachment 3699889View attachment 3699890View attachment 3699891View attachment 3699892View attachment 3699893View attachment 3699894View attachment 3699895View attachment 3699896
mbna kama unatakaa kulia 😂 😂 😂 data ndo hizi apa, usilie mwanaetu, umekazania mchele toka mwaka jana 😂😂😂😂😂
1793139236919.png
 
Back
Top Bottom