Kibera wana maisha mazuri kuliko wakazi wa pipeline, kibera is overrated, there are many and biggest slums than kibera in Kenya.Hapo ukikaa just one day lazima u fall sick uchafu na air quality terrible bora kama sina nyumba nikae juu ya mti porini napata hewa fresh na natural environment sio garbage environment kama ya pipeline
Pipeline 🤮
Watakuambia sio wengi eti hawazaliani hovyo, congestion iliopo pipeline ni kama kila second wanazaa watoto 10 pipeline pekee, there's no freedom of movement kabisa pipelineHapo ukikaa just one day lazima u fall sick uchafu na air quality terrible bora kama sina nyumba nikae juu ya mti porini napata hewa fresh na natural environment sio garbage environment kama ya pipeline
Inawezekana lakini vipi kama kuna mapitio ya wanyama pori au hatuingiliani nao?Kuna umuhimu mkubwa wa kupiga senyenge na kuweka ulinzi mkali wa askari na mbwa waliotrain vizuri kwenye border zote tulizopakana na kunyaland
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watakuambia sio wengi eti hawazaliani hovyo, congestion iliopo pipeline ni kama kila second wanazaa watoto 10 pipeline pekee, there's no freedom of movement kabisa pipeline
Public buses zao zote zinakaa hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matunda ya fuso fabrication economy ya kunyaland on sight [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2260210
Hotel zimejaa Arusha kwa wingi wa Watalii na Chambulo anasema mwakani yatakuwa mafuriko makubwa ya watalii akashauri miundombinu ya hotel za nyota 5 ziongezeke maana za kwake 3 zote zimeshafanyiwa booking.wameshupalia mambo ya loliondo kumbe yanayowaumiza ni haya [emoji23][emoji116]
View attachment 2259884