dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Sheria ya PPRA serikali hawaruhusiwi kununua secend hand kwa matumizi ya wananchi , ngoja tuone mbivu na mbichi lakini kama wamenunua mtumba watakua wamezingua big time, maintenance cost itaenda firisi hao TRC mapema tuTuliaema hapa ndio maana hii zabuni ilifichwa hawakuwa wakiizungumzia sana kila mara walikuwa wanaikwepa hii ni order toka Germany. Walipoona procurement ya trains imechelewa baada ya wazabuni kuleta pingamizi wakaona wanunue mitunba ili kuanza operations mapema.
Hiki ni kituko kama cha MV Dar es Salaam sijui viongozi wetu walikuwa kina nani kipindi hicho.
