Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Na boyfriend wa mamako anafanya nn?Wanataka boyfriend wa mama fulani aje kuwinda wanyama huko bila kusumbuliwa na Wamaasai.
Na boyfriend wa mamako anafanya nn?Wanataka boyfriend wa mama fulani aje kuwinda wanyama huko bila kusumbuliwa na Wamaasai.
Mungu anibariki nimiliki nyumba yangu huku for retirement. Such a beautiful environment.Which kitisuru is that? Please attach a link..there is no place in Tz that can match kitisuri, proof me wrongView attachment 2259647View attachment 2259649View attachment 2259650
Natural dams 🤣 🤣🤣 Primary school dropout umeamua leo utumalize na kicheko.Tanzania zipo natural dams na man-made pia nyingi na ndio maana mnakufa njaa on daily basis
Wakenya tayari wameshawasilisha kesi katika international court of Justice (ICJ) na kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kukandamiza haki za kibinadamu za wamaasai wa Tanzania.
Sasa Dakar ni major airport??on the international platform, nairobi reduces dar es salaam to rubbles and debri ..... 😆
View attachment 2259443View attachment 2259436
Maasai wa ngorongoro wamejengewa nyumba nzuri sana Tanga shule na vituo vya afya kupitia uongozi wao walikubaliana kuhama ndio maana serikali ikawekeza hela kwenye makazi yao mapya wamepewa pamoja na mapori huko Tanga ya kulisha mifugo yao sasa leo wanakataa kuhama inaelekea kuna kamchezo kinaendelea na it seems kuna ambao hawakuwepo mwanzoni ila sasa wameona watu wamepewa nyumba na maeneo bure na wao wakaja kuhamia hapo ngorongoro ili na wao wajumuishwe kwenye mpango wa kupata nyumba bure. Most likely they are from Kenya. Though I do not condone the use of force or any measures that hurt people.Ndugu tumia akili kidogo basi kinachofanyika Ngorongoro sio sawa, kama kweli kuna wakenya walikuwa wanaingia wangechukua hatua kuwazuia ili shughuli ziende vizuri.
Suala la kuwahamisha sio sawa ni muhimu kuhakikisha wanaendelea kuishi kwa amani na wanyama
Wakenya tayari wameshawasilisha kesi katika international court of Justice (ICJ) na kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kukandamiza haki za kibinadamu za wamaasai wa Tanzania.
lazma nguvu itumike kidogo bro bora kuchunga mbuzi lakini sio binaadamuMaasai wa ngorongoro wamejengewa nyumba nzuri sana Tanga shule na vituo vya afya kupitia uongozi wao walikubaliana kuhama ndio maana serikali ikawekeza hela kwenye makazi yao mapya wamepewa pamoja na mapori huko Tanga ya kulisha mifugo yao sasa leo wanakataa kuhama inaelekea kuna kamchezo kinaendelea na it seems kuna ambao hawakuwepo mwanzoni ila sasa wameona watu wamepewa nyumba na maeneo bure na wao wakaja kuhamia hapo ngorongoro ili na wao wajumuishwe kwenye mpango wa kupata nyumba bure. Most likely they are from Kenya. Though I do not condone the use of force or any measures that hurt people.
Hii Mandela road ndio itaenda mpaka Ubungo na Tazara?Kwa mitaa ya Azikiwe, Maktaba square , Sokoine drive, Biti Titi na Uhuru streets msiwe na wasiwasi kuna mipango madhubuti na ikikamilika sidhani kama kuna jiji EA Litatia pua interms of Street level, Pedestrian walkways na Urban mass transit. Chukulia mtaa wa msimbazi, na Toure drive kabla ya improvement.
View attachment 2259152
View attachment 2259153
View attachment 2259154
View attachment 2259156
View attachment 2259157
View attachment 2259159
View attachment 2259161
Mradi tayari kashapewa SINOHYDRO kwa ajili ya utekelezaji.
kuna video hapa ya TANROADS wakuu wa WiFi nyumbani nadhani hamtapata shida kuangalia mkitaka.
Dawa ya jeuri ni Kiburi, alisema Sugu.Hizi evictions ndio zitakuwa mwisho wa kualikana kuja kuchungia ngombe kwenye mbuga zetu kuanzia hapo tukikuta mifugo mbugani tunataifisha yote kwahiyo maasai wa Kenya mjipange kabisa.
Mandela road ni awamu ya tano ya brtHii Mandela road ndio itaenda mpaka Ubungo na Tazara?
Nyundo ya utosiniInakuuma nn tukiuzia waarsbu wa UAE? Mbona Masai mara mmeuzia Branson wa Virgin?


waiteni hapa alaf wakatae sasa 😂😂👇
View attachment 2259784View attachment 2259785View attachment 2259786View attachment 2259787
Hii hata kwenye list ya Wikipedia haipo lakini inazima dams zote mlizonazo kunyaland, hii Dam inasupply maji ya kunywa kwa Morogoro municipalities yenye wakazi zaidi ya laki 2, inahudumia irrigation schemes na kufuga samaki