Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubepari ni mbaya sana...

Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...

Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...

Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
ni kwamba hawana uwezo wa kulipia barabara yao wanaamua kukomaa na foleni wapoteze muda na mafuta lakini siyo kumlipa mchina.
 
Tukisema pipeline ni one massive slum wanabisha

FVI4pEYXwAYogaL.jpeg
FVI4pGjXsAYA0zh.jpeg
FVI4pCXWYAExVln.jpeg
FVI4pBeWAAI0YQx.jpeg
 
Usihesabu hizo 5 ambazo bado zinajengwa. Bado mna interchanges 4 tu.
Hizo interchange 5 underway zote zinazinduliwa mwaka huu.. ndio mtajua hamjui, BRT system tunayo tena 3 phases while uko kwenu 0, mkija huku kwenye interchange (uwanja wenu wa kujidai) tunapindua meza soon .. 5 years 9 interchange 😂😂😂 sujui mtajivunia nini nyie jamaa, jiandaeni kisaikolojia..
 
Huwa anajiona mwarabu sana. Tatizo ngozi lake bado ni nyeusi. Ana mitindo ya kiarabu kiarabu. Hata kuzungumza kwake kuna uarabu mwingi.
Na wewe imeingia katika Kundi la choyo. Tizama watu wa miaka yake Zanzibar wanavaa nguo gani? na wanazungumza vipi ati anajiona muarabu.
 
Ubepari ni mbaya sana...

Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...

Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...

Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
Tulisema ile ilikuwa picha ya uzinduzi, watu wakapita bure, sasa hii ndiyo picha kamili sasa, watu wameanza kulipishwa
 
Ubepari ni mbaya sana...

Check watu wasio na uwezo wanavyoshindwa kutumia barabara kwa sababu ya malipo...

Sasa hio barabara imejengwa ili iweje...

Wakenya kuna kitu hakiko sawa nchini kwenuView attachment 2259798
Alafu angalia public buses za Kenya aisee, yn ndiyo ziko hvyo hvyo zootee, jamaa ni mafukara mno mm nawaambia ndugu zangu, Wakenya ni mafukara zaidi ya unavyoweza ku imagine.
 
Yaani nafurahi kweli kitu Kenya mnachofanya, mshikisheni huyu mama adabu kabisa, nikikumbuka alivyokua akimkashfu JPM kwa reciprocation alizokua akichukua dhidi ya choko choko kutoka kwa Uhuru wacha aone true colors za kenya!
Atafurahi tuu huko Omani
 
Back
Top Bottom