Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye ngumi hatuna mpinzani hapa Africa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220613-113721.png
    Screenshot_20220613-113721.png
    135.8 KB · Views: 11
Serikali kununua boti 320 za Uvuvi kwa ajili ya wavuvi wadogo
 
Attachments

  • Screenshot_20220613-113709.png
    Screenshot_20220613-113709.png
    143.9 KB · Views: 11
Taarifa murua kabisa kutoka DRC

Tony254 nakumbuka ulikuja na moto kichizi kipindi DRC inajoin EAC, mkasema mnataka kuifundisha Tanzania namna capitalism mentality ilipowafikisha 😂😂😂 eti DRC mtaenda kupata vyote mnavyopata Tanzania ikiwemo mahindi 😂😂😂

Masikini hamkujua DRC mwenyewe anakula kwa jeuri yetu, yaani ninyi nyote ni wagonjwa wetu, Tanzania ndio daktari 😂😂😂

Na hiyo mentality yenu kwamba soko la mazao ya Tanzania ni kunyaland pekee, ife kuanzia saivi
 
Kwa mitaa ya Azikiwe, Maktaba square , Sokoine drive, Biti Titi na Uhuru streets msiwe na wasiwasi kuna mipango madhubuti na ikikamilika sidhani kama kuna jiji EA Litatia pua interms of Street level, Pedestrian walkways na Urban mass transit. Chukulia mtaa wa msimbazi, na Toure drive kabla ya improvement.

View attachment 2259152

View attachment 2259153

View attachment 2259154

View attachment 2259156

View attachment 2259157

View attachment 2259159

View attachment 2259161

Mradi tayari kashapewa SINOHYDRO kwa ajili ya utekelezaji.
kuna video hapa ya TANROADS wakuu wa WiFi nyumbani nadhani hamtapata shida kuangalia mkitaka.

Mimi sioni kuna nini la maana hapo kama kujenga interchange Dar kumewashinda. Utalingashaje huu upuuzi na interchanges kibao ambazo zimejaa Nairobi? Sasa kama unazungumzia battle ya street level kisha uulize mzungu achague mji upi bora kati ya Nairobi ambayo ina interchanges zaidi ya 15 na Dar ambapo juctions hazina interchange ni obvious atachagua Nairobi. Dar nzima ina interchanges chini ya 5.

Cc Sama boy 255
 
Chagua Dam tuanze battle ya Dams za Tanzania na kunyaland
A desert country needs competition na Tanzania 😂😂😂

Yaani Wakunya ninyi malimbukeni kweli, mumejenga kidimbwi kimoja mnatutambia kisa hamjawahi kusikia Tanzania tukiongea kuhusu dams basi mnafikiri hatuna 🤣

View attachment 2259455
Weka picha sio wikipedia. Mbona mimi niliweka video ya dam yetu?
 
Mimi sioni kuna nini la maana hapo kama kujenga interchange Dar kumewashinda. Utalingashaje huu upuuzi na interchanges kibao ambazo zimejaa Nairobi? Sasa kama unazungumzia battle ya street level kisha uulize mzungu achague mji upi bora kati ya Nairobi ambayo ina interchanges zaidi ya 15 na Dar ambapo juctions hazina interchange ni obvious atachagua Nairobi. Dar nzima ina interchanges chini ya 5.

Cc Sama boy 255
Dar imefocus kenye Mass transit, Baada ya Phase 3 ambayo tayari contractor kashapewa kazi ikiisha , uje ulinganishe vizuri majiji haya mawili. Dar baada ya phase 1 tu ya BRT ilishinda tuzo, haikua tuzo ya Interchange, ni Usafiri Bora wa Umma. Kuwa na interchange sio kigezo cha kuwa mji ni bora, Interchange zipo kutatua tatizo la foleni ambayo hamkupangilia vizuri zamani. (IMO).
Kuna maeneo kibao nchi zilizoendelea yanabomoa hayo ma interchange unayoyapenda na kurudisha demokarasia barabarani ( Pedestrian, cyclist, na motorist wote wana haki ya kutembea kwenye barabara bora.

Pia kama una muda tutaongea vizuri kwa mifano Kati ya Dar na Nairobi ipi ni at least Walkable City.

14746949_fhhjjshx0aydzg4_jpeg_jpeg167cfd87596de10e72d85d840ffc0c05.jpeg
 
Taarifa murua kabisa kutoka DRC

Tony254 nakumbuka ulikuja na moto kichizi kipindi DRC inajoin EAC, mkasema mnataka kuifundisha Tanzania namna capitalism mentality ilipowafikisha 😂😂😂 eti DRC mtaenda kupata vyote mnavyopata Tanzania ikiwemo mahindi 😂😂😂

Masikini hamkujua DRC mwenyewe anakula kwa jeuri yetu, yaani ninyi nyote ni wagonjwa wetu, Tanzania ndio daktari 😂😂😂

Na hiyo mentality yenu kwamba soko la mazao ya Tanzania ni kunyaland pekee, ife kuanzia saivi

Unajua wakunya waonavyo wao ni kama vile wao pekee ndio majirani wetu,magu boy alikua anawapeleka vizuri sana hawa nyang'au ili wasituzoee zoee,awatomsahau yule mwamba
 
Mimi sioni kuna nini la maana hapo kama kujenga interchange Dar kumewashinda. Utalingashaje huu upuuzi na interchanges kibao ambazo zimejaa Nairobi? Sasa kama unazungumzia battle ya street level kisha uulize mzungu achague mji upi bora kati ya Nairobi ambayo ina interchanges zaidi ya 15 na Dar ambapo juctions hazina interchange ni obvious atachagua Nairobi. Dar nzima ina interchanges chini ya 5.

Cc Sama boy 255
Tonny huwezi jua umuhimu wa hiyo video uliyoona na jinsi BRT inavyotransform eneo. Angalia hii Msimbazi Street kabla na baada ya BRT Phase 1. Hii Barabara ilikua mbovu ikiwa na fujo zote na watembea kwa mguu walikua wanatembea kwa hatari, sasa hivi ipo vizuri pedestrian wana eneo kubwa la kutembea, dedicted Bus lane na magari mengine ya kawaida yametengwa. hizi picha zote nimepiga mwenyewe toka mwanza na najua umuhimu wa haya mabadiliko.

Before BRT Lanes.

Dv5afJbWkAE0s4g.jpeg

BRT Bus stops zikaanza kuchimbwa.
Dv5afJbWoAA26ru.jpeg

BRT Lanes zikaanza kutengenezwa

Dv5afJfWwAA2-U3.jpeg

After BRT lanes and Bus stops ( Bado Mabasi hayajaanza kupita)

Dv5afJcXQAAyQUw.jpeg

After the BRT Buses become operational.

D8Op1f1WsAANQFX.jpeg

D8Op1f4XsAASFVS.jpeg

D8Op1f7X4AEKA6z.jpeg

You see the order?

C8oWzZVXcAA5NIq.jpeg

C8oWzZQXYAI0r_o.jpeg

Huo ni mtaa mmoja tu wa Msimbazi, sasa BRT PHASE 3 itapita barabara muhimu kadhaa , Sokoine Drive, Azikiwe ambayo ni sura ya CBD yetu, Maktaba Square , Biti titi na Uhuru na Nyerere road all the way to Gongolamboto. Dar haitakua imepauka tena.

All Photos taken by me for educational purposes.

DXoH-GDX4AAiNfJ.jpeg

Di9xoyPX4AIcazY.jpeg
 
Tonny huwezi jua umuhimu wa hiyo video uliyoona na jinsi BRT inavyotransform eneo. Angalia hii Msimbazi Street kabla na baada ya BRT Phase 1. Hii Barabara ilikua mbovu ikiwa na futo zote na watembea kwa mguu walikua wanatembea kwa hatari, sasa hivi ipo vizuri pedestrian wana eneo kubwa la kutembea, dedicted Bus lane na magari mengine ya kawaida yametengwa. hizi picha zote nimepiga mwenyewe toka mwanza na najua umuhimu wa haya mabadiliko.

Before BRT Lanes.

View attachment 2259534

BRT Bus stops zikaanza kuchimbwa.
View attachment 2259536

BRT Lanes zikaanza kutengenezwa

View attachment 2259537

After BRT lanes and Bus stops ( Bado Mabasi hayajaanza kupita)

View attachment 2259538

After the BRT Buses become operational.

View attachment 2259539

View attachment 2259540

View attachment 2259542

You see the order?

View attachment 2259543

View attachment 2259544

Huo ni mtaa mmoja tu wa Msimbazi, sasa BRT PHASE 3 itapita barabara muhimu kadhaa , Sokoine Drive, Azikiwe ambayo ni sura ya CBD yetu, Maktaba Square , Biti titi na Uhuru na Nyerere road all the way to Gongolamboto. Dar haitakua imepauka tena.

All Photos taken by me for educational purposes.

View attachment 2259551

View attachment 2259555
Ni sawa. Nimeona system yenu ya BRT. If it works for you then hakuna shida. Nyie naona mnafuata system ya Europe ambao wametilia mkazo mass transit system. Nairobi nayo imefuata system ya miji ya USA kama Houston au LA ambapo haina mass transit system nzuri na nguvu zote zimewekezwa kwenye kujenga interchanges na barabara nyingi za ghorofa ili kupitisha magari kwa wingi.
 
Back
Top Bottom