The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Investors wamekuwa wengi Sana wanatolea udenda Bagamoyo Port kuanzia US,France,China na Oman..Hii ziara ya mama omani ina mambo makubwa sana Bagamoyo oyee! Oman state reserve fund ndio investor mkubwa Kwa hii project ambao wafaransa na wamarekani wanaitolea macho pia ku counter chinese influence in Africa. Sasa China Merchant Holdings itabidi wajipange vizuri odds hapo haziko upande wao both teams to score (GG). [emoji16]
Tujipange vyema kupata value for money kwa mwenye offer nzuri.