Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mitaa ya Azikiwe, Maktaba square , Sokoine drive, Biti Titi na Uhuru streets msiwe na wasiwasi kuna mipango madhubuti na ikikamilika sidhani kama kuna jiji EA Litatia pua interms of Street level, Pedestrian walkways na Urban mass transit. Chukulia mtaa wa msimbazi, na Toure drive kabla ya improvement.

Screen Shot 2022-06-13 at 10.19.58.png


Screen Shot 2022-06-13 at 10.20.26.png


Screen Shot 2022-06-13 at 10.21.37.png



Screen Shot 2022-06-13 at 10.22.09.png


Screen Shot 2022-06-13 at 10.24.36.png


Screen Shot 2022-06-13 at 10.25.05.png



Screen Shot 2022-06-13 at 10.26.47.png


Mradi tayari kashapewa SINOHYDRO kwa ajili ya utekelezaji.
kuna video hapa ya TANROADS wakuu wa WiFi nyumbani nadhani hamtapata shida kuangalia mkitaka.

 
Mnajituma kuuza miili CBD? Ukahaba unaofanyika Nairobi 24/7 ni udhibitisho kwamba hamna akili ya kufanya kazi zaidi ya ukahaba!
Kumbe wewe level yako ni malaya tu, akili yako huwa ina revolve around that😂😂😂😂😂 hiyo ndio dunia yako wewe, u are deluded, wewe ni pervert😂😂😂😂 so kile unaona tu ni prostitution, ata kama sio, skewed mindset corrupted by pervasion, na hakuna taifa lina anasa Kuliko Dar in EAC., ufukara na umang'aa zinaenda pamoja, nyie mang'aa, liko wazi sana, it is even reflected in your songs 😂😂😂😂 😂 😂
 
Kumbe wewe level yako ni malaya tu, akili yako huwa ina revolve around that hiyo ndio dunia yako wewe, u are deluded, wewe ni pervert so kile unaona tu ni prostitution, ata kama sio, skewed mindset corrupted by pervasion, na hakuna taifa lina anasa Kuliko Dar in EAC., ufukara na umang'aa zinaenda pamoja, nyie mang'aa, liko wazi sana, it is even reflected in your songs
Haka kajamaa lazima kakue customer wa prostitution , kazuzu sana
 
Umeme wa kutembeza hiyo reli yote tutawauzia Tanzania, na sababu tunajenga dedicated transmission line yenye zaidi ya kilovolts 220 tutaweza kusambaza umeme Burundi na DRC pia

Hapo tunapiga ndege watatu kwa jiwe 1,

Bandari
Umeme wa SGR
Umeme wa kawaida

View attachment 2259129
Hapo toka kigoma mpaka Congo ni less than 10hrs by electric SGR ya mizigo
 
Umeme wa kutembeza hiyo reli yote tutawauzia Tanzania, na sababu tunajenga dedicated transmission line yenye zaidi ya kilovolts 220 tutaweza kusambaza umeme Burundi na DRC pia

Hapo tunapiga ndege watatu kwa jiwe 1,

Bandari
Umeme wa SGR
Umeme wa kawaida

View attachment 2259129
Hiyo reli ina faida sana maana kwenye hizo nchi pia kutakuwa na luti za ndani yaani kama rwanda ndani kwa ndani .burundi ndani kwa ndani na tz ndani kwa ndani, drc ndani kwa ndani , kisha na usafiri wa nchi na nchi
 
Back
Top Bottom