Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani wanyama na maasai wameanza kuishi ngorongoro juzi?
sio swala la kuanza kuishi ila shughuli za kibinaadamu zimekua ni nyingi na watu wameomgezela huku watu wakiwatumia hao wamasai kama sehemu ya kufuga mifugo yao ndani ya hifadhi, jibu ni kua wanahatarisha maisha ya ya wanyama na mimea
 
Wazanzibari wana haki kikatoba kuliko wadanganyika. Mama anauzia ngongoro muarabu sababu yeye ni mzanzibari.
Shida nn? Nchi yetu kubwa hata akiuzia waarabu ngorongoro wewe unaumizwa na nn? Nchi kubwa, mbuga zipo nyingi tatizo liko wapi, wewe unaumizwa na kuuzwa kwa ngorongoro isiyokuhusu? Pambana na Kenyatta aliyeuza 3/4 ya arable land akawaachia Turkana
 
na pia huku jf nimegundua, majina za hawa watanganyika wote ziko Coded. hivi hakuna ata moja aliyeandika jina lake rasmi kama vile mimi Fredy ama ata Tony, iamLee, Don YF, MwathaDan, etc... kisa.! wanahofia kukua lebeled na kuchunguzwa na maofisa wa 'Usalama wa Taifa' kwa sensitive content zozote watakazo weza kupost humu. pia hakuna siku utawahi ona picha ama nyuso zao live .!!??
The best 007 tuusan The Sunk Cost Fallacy joto la jiwe etc wakionyesha jina tu moja wameisha ivo. Utaskia wametekwa na watu wasiojulikana au kufungwa jela. Lazima wasifu ccm
 
Shida nn? Nchi yetu kubwa hata akiuzia waarabu ngorongoro wewe unaumizwa na nn? Nchi kubwa, mbuga zipo nyingi tatizo liko wapi, wewe unaumizwa na kuuzwa kwa ngorongoro isiyokuhusu? Pambana na Kenyatta aliyeuza 3/4 ya arable land akawaachia Turkana
alaf mwambie akupe source kua inataka kuuzwa kwa waarabu akikupa tu nitag tatizo hawa wakenya wanawivu sana na tanzania 😂😂😂
 
sio swala la kuanza kuishi ila shughuli za kibinaadamu zimekua ni nyingi na watu wameomgezela huku watu wakiwatumia hao wamasai kama sehemu ya kufuga mifugo yao ndani ya hifadhi, jibu ni kua wanahatarisha maisha ya ya wanyama na mimea
Kuna compensation? Wamepewa alternative?
 
alaf mwambie akupe source kua inataka kuuzwa kwa waarabu akikupa tu nitag tatizo hawa wakenya wanawivu sana na tanzania 😂😂😂
Wewe kwa sababu ni mwarabu sasa unataka kujitetea kwamba huyo anayenunua sio mwarabu?
 
Shida nn? Nchi yetu kubwa hata akiuzia waarabu ngorongoro wewe unaumizwa na nn? Nchi kubwa, mbuga zipo nyingi tatizo liko wapi, wewe unaumizwa na kuuzwa kwa ngorongoro isiyokuhusu? Pambana na Kenyatta aliyeuza 3/4 ya arable land akawaachia Turkana
Kama nchi ni kubwa kwa nini maasai anafukuzwa kwa shamba lake ngorongoro kwa ajili ya muarabu?
Basi serikali ingeuzia muarabu mbuga lingine sababu maasai ana haki kihistoria za kua ngorongoro kushinda muarabu.
 
sio swala la kuanza kuishi ila shughuli za kibinaadamu zimekua ni nyingi na watu wameomgezela huku watu wakiwatumia hao wamasai kama sehemu ya kufuga mifugo yao ndani ya hifadhi, jibu ni kua wanahatarisha maisha ya ya wanyama na mimea
Kwa hivyo nyie mnajali wanyama na mimea kushinda wanadamu? Kwenu wanyama wana thamani kushinda wanadamu?
 
Wewe unaongea upuuzi tu. Wamaasai wameanza kuishi na wanyama zaidi ya miaka 2,000 nyuma.
Yah ila tukumbuke pia nchi inaendeshwa kwa sheria pia, idadi ya wamasai mbugani imeongezeka hatua za haraka zinaitajika ili kulinda pori tengefu la ngorongoro
 
Kama nchi ni kubwa kwa nini maasai anafukuzwa kwa shamba lake ngorongoro kwa ajili ya muarabu?
Basi serikali ingeuzia muarabu mbuga lingine sababu maasai ana haki kihistoria za kua ngorongoro kushinda muarabu.
Wapi wameandika muarabu anataka kuuziwa ngorongoro, una ushahidi tafadhali?
 
Yah ila tukumbuke pia nchi inaendeshwa kwa sheria pia, idadi ya wamasai mbugani imeongezeka hatua za haraka zinaitajika ili kulinda pori tengefu la ngorongoro
Nimenotice kwamba kiswahili chako ni kizuri kushinda cha Watanzania wenzako. Asubuhi uliniambia nitumie tafsida ikanibidi niende kwa kamusi kuangalia maana ya neno hilo. Sasa naona unatumia neno "tengefu".
 
Kwa hivyo nyie mnajali wanyama na mimea kushinda wanadamu? Kwenu wanyama wana thamani kushinda wanadamu?
Ndio tunajali wanyama wa porini kuliko binadamu vipi uko kenya kama nyinyi mnajali sana watu si muachie watu wangie kwenye hifadhi zenu wafanye shughli za kibinadamu
 
Back
Top Bottom