Genocide ? Unakua maana ya genocide au unaandika tuCCM wameanza kubana habari kuhusu loliondo genocide. Wanahabari wameanza kuwekwa ndani. View attachment 2257057
Genocide ? Unakua maana ya genocide au unaandika tuCCM wameanza kubana habari kuhusu loliondo genocide. Wanahabari wameanza kuwekwa ndani. View attachment 2257057
Aliemfungulia kesi ndio kaimaliza hapo unaonajeEnzi zile watu wakisema mahakama hazikuwa huru, enzi hizi za mahakama huru mbona bado ameshinda?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wamasai wasituchanganye na wao ni watanzania tu kama sisi sote. Wahame huko. Nchi ina mapori mengi tu yakufuga.
Wasitupande mpaka kichwani
Wewe punguza mihemko. Kubali kwamba mumewafanyia Wamaasai unyama yaishe.
Hapo accra ipo juu ya lagoshiyo ni uongo uliotukuka kabisa
Tanzania is a failed state. Loliondo genocide against wamasaai inatekelezwa na CCM na mashabik wake. Mama suluhu hapendi Tanganyika. Anauzia beberu muarabu ngorongoroView attachment 2257059
I'm glad you're simply explaining violence and insecurity, not denying it. Thank you.Unajua maana ya worse? Hao walitishia mishale Serikali wakati wanajua kuna Sheria ya Uhifadhi wanakiuka..
Wanatakiwa kunyooshwa mara moja Ili kukomesha upuuzi.
The Sunk Cost FallacyCCM wameanza kubana habari kuhusu loliondo genocide. Wanahabari wameanza kuwekwa ndani. View attachment 2257057
Wewe huwa unatanguliza Kenya kwenye kila kitu. Hata mke wako akifirwa najua utasema ni Mkenya amefanya hivyo. Najua ukiwa ndotoni, huwa unaota Wakenya wakikukimbiza kila wakati.
Mbona Kunyaland,Uganda,Botswana nk wamewahamisha watu,mbona mnapiga Sana makelele kwa Tanzania? 👇I'm glad you're simply explaining violence and insecurity, not denying it. Thank you.
Tutadeal na wapotoshaji hadi wapate akili .
Tatizo ni masai wa Kenya wanaona Masai wa Tanzania wakihamishwa watashindwa kuingiza mifugo Tanzania! Ndo maana NGOs zao ziko busy kuwahimiza Masai wa Tanzania wagome!Ujinga wao ndiyo unaowagharimu.
Kutwaa ardhi kwa manufaa au masilahi ya Taifa ni jambo la kisheria. Hilo halihojiwi, ni utekelezaji tu, kama ilivyofanywa kwa maeneo mengine ya migodi, barabara, hifadhi za misitu, n.k.
Kwani nyie ile MAU EVICTION ilikuwaje?
Ni unyama uliokithiri. Alafu CCM wameanza kukamata journalists. Hakuna uhuru wa wanahabari Tanzania ndio maana watanzania wote hadi hapa jf hutazama TV station na habari za Kenya View attachment 2256950
Tatizo ni masai wa Kenya wanaona Masai wa Tanzania wakihamishwa watashindwa kuingiza mifugo Tanzania! Ndo maana NGOs zao ziko busy kuwahimiza Masai wa Tanzania wagome!
Wamaasai wengi wameuliwa. Media station hazionyeshi, zinaogopa ccmGenocide ? Unakua maana ya genocide au unaandika tu
SureKuna uwezekano mkubwa mama Samia Suluhu pia ni mkabila, hawapendi watu wa kaskazini, anapendelea Zanzibar
Tony254
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app












Ata vyeti hakuna mtanzania anaweza post hapa sababu wanaogopa watachunguzwa na watafuatwa na makaburu wa CCM.na pia huku jf nimegundua, majina za hawa watanganyika wote ziko Coded. hivi hakuna ata moja aliyeandika jina lake rasmi kama vile mimi Fredy ama ata Tony, iamLee, Don YF, MwathaDan, etc... kisa.! wanahofia kukua lebeled na kuchunguzwa na maofisa wa 'Usalama wa Taifa' kwa sensitive content zozote watakazo weza kupost humu. pia hakuna siku utawahi ona picha ama nyuso zao live.!!??