Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua maana ya worse? Hao walitishia mishale Serikali wakati wanajua kuna Sheria ya Uhifadhi wanakiuka..

Wanatakiwa kunyooshwa mara moja Ili kukomesha upuuzi.
Wamasai wasituchanganye na wao ni watanzania tu kama sisi sote. Wahame huko. Nchi ina mapori mengi tu yakufuga.

Wasitupande mpaka kichwani
 
Kuna uwezekano mkubwa mama Samia Suluhu pia ni mkabila, hawapendi watu wa kaskazini, anapendelea Zanzibar
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hajafikia Sukumagang leader aliyesimamisha mradi wa kujenga chuo cha kilimo change kumbukumbu ya Mwl Nyerere Butiama 2015 ila kuenda kuanzisha utitiri wa vyuo Chato.










Huku hiki kikikwama toka Kikwete atoke madarakani!
 
Wamasai wasituchanganye na wao ni watanzania tu kama sisi sote. Wahame huko. Nchi ina mapori mengi tu yakufuga.

Wasitupande mpaka kichwani
Wanajazwa ujinga na NGOs za Kunyaland na mabwanyenye wa Mifugo kwamba eti maeneo yao wanapewa Waarabu kwa hiyo wanadinda,sasa ngoja wapewe moto.

Pili Maasai sio kwamba wao ndio Wana haki Sana kuliko Rais wengine wa Tanzania..Maelfu kwa maelfu ya jamii na Vijiji vilivunjwa kupisha hifadhi ya Ruaha,watu wameondoshwa kupisha uwekezaji wa migodi,hifadhi za maji na misitu na ujenzi wa Barabara nk ..

Kwa hiyo Masai wasijifanye ni spesho Sana,mbinu ya eviction inafanyika Duniani kote kuanzia Asia,America hadi Africa..Good zaidi kwao wamejengewa makazi,maeneo ya malisho,huduma zote za jamii kuanzia shule,afya,umeme nk lakini eti wanakomaa,stupid zao..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-081458.png
    Screenshot_20220611-081458.png
    98.4 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220611-081546.png
    Screenshot_20220611-081546.png
    123 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220611-081603.png
    Screenshot_20220611-081603.png
    67.8 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220611-081135.png
    Screenshot_20220611-081135.png
    156.6 KB · Views: 10
Unajua maana ya worse? Hao walitishia mishale Serikali wakati wanajua kuna Sheria ya Uhifadhi wanakiuka..

Wanatakiwa kunyooshwa mara moja Ili kukomesha upuuzi.
Na wazanzibar wanapouliwa na ccm wakati wa uchaguzi huwa wanapambanaga hivyohivyo na serikali sasa hatutaki tena kusikia mkilialia kuwa tunawatesa .....na nilicho waambia wazenji kama mnayo akil8 basi jitaidini kipindi hichi mjitenge la sivyo sasa hoja zenu zote zitajulikana kuwa ni unafiki tu hakuna atakaye wahurumia siku samia akiondoka madarakani ...kipindi hicho mtalia na kusaga meno
 
4 AREAS:
kisha watadai eti nairobaa is pachafu na 60%slums, nairobaa hakuna maji, nairobaa hakuna security, nairobaa hakuna food, nairobaa usafiri ni wasiwasi.. etc


View attachment 2256899 nb: nairobi is more friendly, exciting and full of enthusiasm than either cape town or lagos.!
Hapo accra ipo juu ya lagos hiyo ni uongo uliotukuka kabisa
 
will this guy ever walk again realy.! hio spinal cord iko sawa kweli.??🤔🤔

View attachment 2256885

Siku zote mihemko ikitangulia hekima, matokeo yake ni haya.
Hao wanaopigwa na wamasai wasio jielewa. Wanatangulizwa mbele na wamsai wajanja, wengi kutoka kenya. Ambao ndiyo wamiliki wa mifugo. Hao wanaoandamana kijinga wametumwa na mabwenyenye wanaomiliki ng'ombe na pia wanawamiliki hao walala hoi.
 
Back
Top Bottom