Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamtawahi izidi Tz mpaka dunia inakwisha, wewe tulia nasave hii comment yako, muizidi Tz na huku shehena ya mizigo maelfu ya malori mmeyapiga stop, muizidi Tz kwa kitu gani hasa mnacho export Tz, yani tena export ya mwaka huu itakuwa mara mbili ya mwaka jana mana mmezuia maelfu ya malori toka Tz na bado eti mmetuzidi only $21ml
Say "YES" to please a fool.
 
The Financial Capital of East Africa.

FUOKdoKWIAYBw5b.jpg
FUZtCQYXsAYcdU5.jpg
FUoFmOpXoAAkU_l.jpg
FSc8T-0XsAE2z5K.jpg
FS2jmyfXwAAEmN7.jpg
FSnN2VuXEBIx7el.jpg
 
Mama kwa hili anafeli pakubwa.. and here clearly shows ni walewale wa 'kikwete'. Kwanza hata hajitambui
mbona waziri mkuu ameikanusha hii?

ujue hawa wanaotuongoza wana mambo ya kipumbavu
 
Haya magu kakosea kijenga mlango bibi yako kajenga nini?
Kuna zile nguzo za vibao vya majina ya mitaa, kuna baadhi ya maeneo wanaweka miti.
Namba za nyumba kulikuwa na vibao maalumu, Siku hizi wanapewa no ujichoree mwenyewe utakavyo.
 
Sio jambo geni, GoK imekopa kutoka kwa Kenyan banks miaka mingi sana., nyie mmeona fursa, njooni tuwasaide., ujirani mwema, inauma kuona mnakopa kwa bank from economic powerhouse in EAC, be humble guys, sio dhambi kukua fukara, mtaomoka siku moja,
View attachment 2256152
Equity imekopesha kiasi gani kwa GoK?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
We shangilia nchi kusambaratika wakati hujui hujma zinazofanywa na NGOs za nchi ya jirani! Yaani maasai wagombee Ngorongoro na Loliondo tu na si Masai mara au Amboseli au Tsavo? Na haiingii akilini kwako wakati yoote ni Maaland? When it comes to land within Tanzania utaskia Maaland cards being played ila land within Kunyaland huiskii hilo!
Geza is blaming their woes on kenya
 
Back
Top Bottom