Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo unapigwa kama mbwa kutoka pande zote. 🤣 🤣 🤣 🤣 Sasa ona hukuenda shule huwezi changia mada za maana, umezoea tu kupost picha za kipumbavu.
Mbona mpeleke Soja mbio hivi? Amefanya Nini Leo?
 
Du ase.. nikisema ni udhaifu wa mama.. nitaitwa sukumagang...
Unaumiza watu wako ili kupora ardhi yao uwape waarabu? Huu ni ujinga..
Utaifa uko wap? Uongozi wa kutetea watu wako na resources zao uko wap?
Wasaidiz wake wanafanya nn kuruhusu haya mambo
Kama wanataka hela si mikopo mingi tu wanapewa
Acha ufala wa kuropoka hovyo? Utakuja kutiwa mbaroni ukakae nyuma ya nondo ndio ukaongee vizuri huu ujinga wako...

Uzushi na upotoshaji utawagharimu Kisa chuki zenu za kindezi.
 
Maasai Mara ni reserve wamaasai wanaishi na wanyama na kuwalinda..in return kuna percentage flani ya income from the reserve inaenda kwa communities around the reserve
Unajua ratio inavyotakiwa au unaropoka tuu? Sheria ya kuwaondoa ilipitishwa toka awamu ya kwanza na waliachwa kwa makubaliano maalumu ambayo sasa ndio mda wake umeisha.
 
Not sure of the population. Unaeza soma zaidi kuhusu the reserve hapa Maasai Mara National Reserve - Kenyan Safari's
Sasa kama huna idadi unawezaje ku-claim of masai mara approach as an example to be emulated and yet try to bad mouth Tanzania's approach on nature and wildlife conservation? Hivi unajua Masai mara is a copy and paste of Ngirongoro conservation area approach?
 
Kenya export to Tanzania is $139M in the first quarter compared to Tanzanian export to Kenya which is $118M. The trade favors Kenya with a surplus of $21M.

Kenya export to Tanzania is $139M in the first quarter compared to Tanzanian export to Kenya which is $118M. The trade favors Kenya with a surplus of $21M.

Bado sana hamjafikia hii record
Screenshot_20220610-220826.jpg
 
Kenya export to Tanzania is $139M in the first quarter compared to Tanzanian export to Kenya which is $118M. The trade favors Kenya with a surplus of $21M.

Malori ya Tanzania yamekwama mpakani mpaka leo au unabisha?
 
Nyie wasenge wote unganeni alafu tuuwashe moto, kuanzia wewe mpk Gezaulole unganeni mje kwenye vita maanina wote nyie nawaweza na hakuna mbwa yeyote atakayenisumbua.
Kuwa na heshima na uache maswali ya ushukununu! Kitu kimeandikwa uteuzi wa member wa board usharukia kutolewa NMB! Ndo maana nikauliza elimu yako maana si kwa uelewa mdogo namna hiyo!
 
Kuwa na heshima na uache maswali ya ushukununu! Kitu kimeandikwa uteuzi wa member wa board usharukia kutolewa NMB! Ndo maana nikauliza elimu yako maana si kwa uelewa mdogo namna hiyo!
Wacha mipasho kama mtoto wa kike wewe wkt mwingine jibu swali au uliza inakuaje? Sio unadakia kujibu kimama mama, be gentleman.
 
Back
Top Bottom