tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Mkopo alikosa baada ya kuvunja nyumba za watu hata baada ya katazo la mahakama, tatizo humu ndani kuna watu mnapenda sana kuabudu watu huu ujinga sijui unasababishwa na nn,Yani kila siku mko busy kutajataja watu hapa ilhali Wenzetu wanamaendeleo kutuzidi na hawana huo muda wa kuabudu viongozi waoMzee hakua mtazamaji wa maendeleo ya wenzake, he was a doer and he has that competitive mindset.
I bet now ile highway ya Dar to Dom ingekua imefika mbali, maana aliona mikopo inamchelewesha akaona aanze mwenyewe Dar to Kibaha, na km ingekua bado now angekua anaitafta Mlandizi km sio Moro.
He was waiting for no one, just on his own pace.