Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So unataka kutuaminisha a ring road haiwezi kuwa a dual carriageway?
Any road can be dualled if need be. Swali ni, is it a dual carriageway at the moment as one of you called it? Ndio maana nasema mnapenda ubishi na kulazimisha mambo
 
Ni uthubutu wa hali juu kuvunja uhusiano na beberu mwingereza kwa maslahi ya waafrika wengine . Late mwl nyerere alikua mzalendo sana
Kenya chini ya Zuzu ilikuwa inalamba matako ya Mwingereza kipindi hiki! Cha ajabu wana uchumi unashindana na sisi badala ya kuwa wanashindana na SA kama malipo ya ukuhuda!
 
Kwahiyo hapo kwa makadirio Tz ilitumia kama $10b kukomboa nchi za Afrika. Shida ya mzee wetu yule hakuwa ana claim anything in return.
Sure, mpaka radio stations za ukombozi zilijengwa kutoka Tanzania ili kusambaza jumbe za ukombozi Mozambique na maeneo mengine na zote zilikua chini ya serikali ya Tanzania kuanzia ujenzi, transmission mpaka operating costs ikiwemo mishahara!
 
Wakunya msisingizie bando...
FUqSA7TWYAELZU_.jpeg
FUqSA7TXwAQ-Euv.jpeg
fuqujkkx0aavwu2-1-jpeg.2253482
FUqSA7SWYAAE1zb.jpeg
FUqUJKKWAAE4RM0.jpeg

Endeleeni kuiwaza congo..... ila natoa pole kwa wakunya woote in advance 😁😁😁😁
 
Attachments

  • FUqUJKKX0AAVwU2 (1).jpeg
    FUqUJKKX0AAVwU2 (1).jpeg
    346.1 KB · Views: 74
Heheheheeee mzigo wote wa Congo tunauchukua, alafu kuna mtu eti anamchukulia poa Magu, iihiiiiiiiiiii.
Kile Chuma kilikua kina vision sana. I bet majirani now wanapumua maana kasi yake ilikua sio ya kitoto.

We were competing on everything, wakijenga flyover Mzee huyu hapa na zake, wanajenga SGR, Mzee huyu hapa anawapumulia pembeni with a superior SGR. wana Shirika la ndege la kichovu chovu mzee huyu hapa na mindege yake brand new, wanajenga bandari mzee huyu hapa anapanua bandari 4 at per na mimeli maziwa yote.

I real do miss him...the competitive mindset, uthubutu, confidence, execution mindset, speed, accuracy and with high standard. Kifupi alikua mtu wa kazi na kazi zilimkubali.

10yrs with him tungekua a superior country within a EA block coz no one angetaka kupitia kwa jirani while kila kitu kinapatikana kwetu bt now hakuna namna lets hope for the best tunakwenda ila kiukweli kasi imepungua.

Namshukuru Sana Mungu kwa kunipa uhai nikaziona kazi za bwana yule, nimeona kazi za maraisi wa4 nikiwa na akili timamu bt Bwana yule was something special.
 
Wacha kabisa kaka, hao viongozi wenyewe waliopita wana salute kwa Bwana yule.
 
Wamejificha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameenda kulilia chooni ..... [emoji23][emoji23][emoji16]
Dj chingchong nletee dyfire .....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wacha kabisa kaka, hao viongozi wenyewe waliopita wana salute kwa Bwana yule.
Mzee hakua mtazamaji wa maendeleo ya wenzake, he was a doer and he has that competitive mindset.
I bet now ile highway ya Dar to Dom ingekua imefika mbali, maana aliona mikopo inamchelewesha akaona aanze mwenyewe Dar to Kibaha, na km ingekua bado now angekua anaitafta Mlandizi km sio Moro.
He was waiting for no one, just on his own pace.
 
Inauma sana.
 
Huyu jamaa ambaye anawania kiti cha urais na anasema anataka kuhalalisha bangi Kenya kumbe amesoma sana kama Wazimu.

Mzee hakua mtazamaji wa maendeleo ya wenzake, he was a doer and he has that competitive mindset.
I bet now ile highway ya Dar to Dom ingekua imefika mbali, maana aliona mikopo inamchelewesha akaona aanze mwenyewe Dar to Kibaha, na km ingekua bado now angekua anaitafta Mlandizi km sio Moro.
He was waiting for no one, just on his own pace.
I beg to differ with u humbly! Aside projects in Chato sidhani kama alikuwa na speed hiyo kwa miradi ya taifa!

Tena kuna miradi aliisimamisha kibabe, saa hii serikali inalipia baada ya kushindwa kesi! Alikuwa controversial!!

Watu waliokuwa wanaweza kumpinga walikuwa kama wakina Msukuma na Gwajima na wale vigogo!

Ukimpinga na ukiwa nje ya watu wa kabila lake unaondoka!

Tusisahau uporaji kutoka kwa wafanyabiashara!
 
Back
Top Bottom