Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio tuliona startup zenyewe zimekaa kimchongo mchongo. Wakunya ebu toa invention kubwa mliyowahi fanya tuone
Unatoa wapi ubavu wa kusema startups za Kenya ni za mchongo ilhali kwa miaka kumi sasa Kenya imekuwa miongoni mwa nchi top 4 Africa kwa kuraise startup funding? Kuna hata mwaka ambayo Kenyan startups ziliraise more money than any country in Africa. Punguza wivu basi.
 
Unatoa wapi ubavu wa kusema startups za Kenya ni za mchongo ilhali kwa miaka kumi sasa Kenya imekuwa miongoni mwa nchi top 4 Africa kwa kuraise startup funding? Kuna hata mwaka ambayo Kenyan startups ziliraise more money than any country in Africa. Punguza wivu basi.
Kumbe kazi ya startup ni kufanya fund raising ? Nilijua wanatakiwa kufanya invention and innovation . Hongereni kwa kwa kukusanya mahela. Still nataka uniambie wametengewa mfumo gani (software systems) ambao una tangible output
 
140km dual carriage loading
JamiiForums-108462783.jpg
 
Mwanzo wa dude pale Kenol Muranga County 56km from Nairobi na mwisho wa Thika road kwa hii interchange
Screenshot_20220607-142502.jpg
 
99% ya wadanganyika ni wajinga hamuezi jipata kwa list za maendeleo kama izi
Kuna vilaza duniani kama ninyi, mtu mmoja anawadanganya kawaunganishia maji watu million 10 wakati mpo million 5 na ninyi mlivyo mazuzu mnashangilia na mnaamini😅😅😅😅

Screenshot_20220603-045835.png
 
Hapana Tony, haya Mambo yanahusiana kwa karibu na kwa ujumla ni kitu kimoja. Wakenya mnahisi ninyi mpo sahihi kwa Kila jambo, katika kusema na kutenda.

Kawaida mtu yeyote anayejiona kwamba wakati wote yeye yupo sahihi, basi hataki kuona watu wengine wanaofanya tofauti na vile anavyopenda au anavyotaka yeye.

Kenya Kama nchi au Kama wakenya mnalo Hilo tatizo Sana, na ndio sababu Kenya inakwaruzana na majirani wake wote, mara utasikia Kenya na Uganda wanagombania Mambo ya maziwa ya lato, mara sukari, mara ushuru wa magari, ukija Kenya na Tanzania ndio kabisaa migogoro haikatiki.

Tanzania tukichoma vifaranga ni makosa, lakini Kenya mkizuia mahindi yetu kwa kisingizio cha "aflotoxin" hiyo ni sawa.

Anachokifanya "Nairobiwalker" hapa kukuchagulia nini la kusema, ndicho mlichomfanyia Geza Ulole huko Skyscraper city mwisho alizuiliwa na mkampiga ban. Jambo la kushangaza, wewe unasifia kwamba Geza ni miongoni mwa watanzania hapa JF ambaye yupo independent, lakini huko Skyscraper city, hiyo indepence yake hamuhitaki



Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakenya hawana uwezo wa kumtoa mtu SSC. Huu ujinga ulio nao hapa ndio ulifanya Geza Ulole ale ban SSC. Akaja na account zingine na zote zikala ban. Meanwhile hakuna Mkenya amekula ban pale. Kuna jamaa hapa Uhuru n Umoja pia alikua anajiita Mark S kule akala ban, akaja kama Uhuru na Umoja pia akala ban. Ndio nawaambia Huu upuzi wenu mnaweza shamiri tu huku kwa mabongolala wenzenu Ila kwa international platforms hawezi kuwa tolerated. Pale SSC ukizoea kutoa habari za uongo ama zisizo eleweka ni ban tu utakula.
 
Jirani ni kichekesho sana. Eti oh we stand with the people of Ukraine meanwhile in the dark buying illegal Ukrainian wheat from Russian army.

Screenshot_20220607-153019_Opera.jpg
 
Back
Top Bottom