Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 2,953
- 12,312
Niliona hiyo Jana Channel ten,alafu kumbe zinatoka KoreaTreni zilizoagizwa kutoka ulaya 30 double decker coaches na vichwa 2 kuwasili between end of August and early September kwa mujibu wa TRC.
Niliona hiyo Jana Channel ten,alafu kumbe zinatoka KoreaTreni zilizoagizwa kutoka ulaya 30 double decker coaches na vichwa 2 kuwasili between end of August and early September kwa mujibu wa TRC.
Za Korea ni nyingine hizo zinatoka GermanyNiliona hiyo Jana Channel ten,alafu kumbe zinatoka Korea
Vipi kuhusu hizi za mei mpka june hawaja zungumzia?Treni zilizoagizwa kutoka ulaya 30 double decker coaches na vichwa 2 kuwasili between end of August and early September kwa mujibu wa TRC.
Hizo ndio ninazokuja end of August kulikuwa na challenge ya ku supply on board equipment from BombardierVipi kuhusu hizi za mei mpka june hawaja zungumzia?
Ni treni nzuri?Treni zilizoagizwa kutoka ulaya 30 double decker coaches na vichwa 2 kuwasili between end of August and early September kwa mujibu wa TRC.
Ziko poa sana ni bilevel coaches possibly za Bombardier. Ila hii kampuni imekùwa na icheleweshwaji wa order nyingi sana mpaka ilipouzwa kwa Alsthom mwaka 2020.Ni treni nzuri?
Apa majaribio ya TRC inaonekana yatanza 0ctobar.
🤷♂️🤷♂️Jambo Geza Ulole
Hapo vip?ngoja niaandike haya maneno afu niyakariri afu tukipata picha za control center in time nitakuquote tena.. usifute acc lkn!
control center
Hiyo ndio tofauti ya european na Chinese standardsKenyan chinese SGR control center
View attachment 2250985
Tanzanian SGR control center
View attachment 2250986
Ng'ombe ya mkalee umeona control tower/center ya SGR Tanzania?Mimi nimekupa control center ya Kenya SGR ndio hii hapa. Nionyeshe ya Tanzania tufunge mjadala.😂😂😂
View attachment 2057565
View attachment 2057566
Kenya 🤣 🤣 🤣 hawanage Reli, nishaga waambiaKenyan chinese SGR control center
View attachment 2250985
Tanzanian SGR control center
View attachment 2250986
Hata control center ya buses za mikoani Tanzania ni better than Kunyan SGRNg'ombe ya mkalee umeona control tower ya SGR Tanzania?