Mimi huwa sibahatishi. Sasa wewe na hawa walio-like comment yako The best 007 na xng hua tafuteni Mwanza kwenye hii list. Na rafiki yangu Sama boy 255 anayetokea Mwanza anaweza kuwasaidia kutafuta Mwanza kwenye hii list. Na ichoboy01 anayeidharau Mombasa pia anaweza kuwasaidia.Aawapii! Unajua Mwanza ina mamilionea wangapi kutokana na shughuli za uchimbaji madini na uvuvi? Mbona basi Mwanza ina watu binafsi wenye meli kubwa na kampuni za uundaji meli kuliko Mombasa?
![]()
Mwanza ferries vs Kenya ferries
Then how do u compare the economy of Kisumu to Mwanza? Do u have oil fields in Kisumu? Gold mines? Many Fish factories as Mwanza? Livestock as Mwanza? Cotton as Mwanza? Si lazima Kisumu to have whatever Mwanza have so that they can be compared economically. Tanzania have all minerals that may...www.jamiiforums.com









Yani ni noma mkuu, hizo A220 zinapiga mzigo kupita maelezo, linaweza likatua sahizi kutoka Hahaya Comoro zen linasafishwa linaelekea mwanza liko full, huku lingine linapakia linaenda Lusaka Harare na lingine Ndola Lubumbashi both at par, hizo Q400 ndio balaa zinazajaza mpk basi, hiyo comment ya jamaa nilitaka niitoe mm leo kwa kuweka picha ya terminal 2 na ku comment "tofauti ya stendi za daladala na airport ni nn?" Nashangaa kumbe kuna mwamba twitter naye kaliona hilo, wakuu Magufuli asamehewe makosa yake hapa duniani mana inawezekana alifanya kosa lkn hakukusudia ilikuwa ni kwa faida ya Taifa na Watz kwa ujumla.
Hawa Mbweha wa kike wa kunyaland huwa wakiona The only electrified SGR in East and Central Africa huwa wanaishiwa nguvu kabis! Na hapo bado trains za kisasa hazijatua na zikitua kuna watu watapata vidonda vya tumbo huko Kibera kwenye mabanda yao!Yeah kama Mombasa aiseeView attachment 2251952View attachment 2251953View attachment 2251954View attachment 2251955View attachment 2251956View attachment 2251958View attachment 2251959View attachment 2251960View attachment 2251961View attachment 2251962View attachment 2251963View attachment 2251964View attachment 2251965View attachment 2251966
Ameiamsha sn hii nchi.Kaka jiwe ataishi miyoni mwetu milele
Heheh. Nn tena
Umeshinda bongolala. Oysterbay is the best neighborhood in Africa. Ila toka hapo uswazini utembee kidogoUtanionyesha nini, neighbor hood gani kali yenye level za osterbey we jamaa zaidi ya hizo apartments .? Au utaonyesha Karen yenye vumbi kila mahali.?
Mkunya keshaiba picha! !Expressway yao nzuri ila hii picha sio yao, Hapa ni Northern Greece. Pia Kenya wanadrive upande kama wa kwetu hapa, ila angalia taa za nyuma za gari (nyekundu) zipo upande wa kulia na za mbele zipo kushoto.






Wanaonekana ni wakali hawa, Sio wakawaida.
Wewe unatupostia video ya 80% bridge na 20% estate.
Video ya estate ni kama hii hapa.
1$mln n kama 3 tsh blnMimi huwa sibahatishi. Sasa wewe na hawa walio-like comment yako The best 007 na xng hua tafuteni Mwanza kwenye hii list. Na rafiki yangu Sama boy 255 anayetokea Mwanza anaweza kuwasaidia kutafuta Mwanza kwenye hii list. Na ichoboy01 anayeidharau Mombasa pia anaweza kuwasaidia.
View attachment 2251987
Cc tuusan