Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Huyu jamaa ameadvertise sana hii trip yake to Kilimanjaro Tanzania zaidi ya miezi mitano sasa BBC

BBC wana program special kwaajili ya project ya huyu jamaa, yaani Tanzania inajitangaza kwa uzuri wake yenyewe

FTwyJCeWIAEFtPE.jpeg


 
Hii thread inatakiwa itusaidie kujifunza sio kutukanana, kudharauliana na kuitana majina. Kuna vitu vya kujifunza kutoka pande zote mbili.
yap hayo ni mawazo yako ila kwa wenyewe wakenya wanalia na huo mradi pesa hawana ya kulipa na huo mradi mikataba yake itawatafuna zaidi ya miaka 40 😂😂😂

 
Nilikuambia RRONDO kwamba utawaumiza watu humu, ila nakuomba uwapuuze manake very soon watakufanyia kama vile walimfanyia bwana tuusan
sisi hawez kutuumiza kwasababu huo mradi sisi tunaujua vzr na vile utawatafuna pia tunajua na soon mambo yataituka tu 🤣🤣🤣 mchina atachezea kende zenu miaka 40
 
Hii thread inatakiwa itusaidie kujifunza sio kutukanana, kudharauliana na kuitana majina. Kuna vitu vya kujifunza kutoka pande zote mbili.
Sio Wakenya mkuu, sisi Watz tumeamua twende nao kwa style ambayo wanaiweza ile ya kistaarabu hawaiwezi, hapa unaongelea watu ambao hawana maadili mema na ambao ugumu wa maisha umewafanya wawe washenzi, so sijakataa wewe kwenda nao kistaarabu ila utanipa mrejesho mkuu.
 
Back
Top Bottom