Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

798594d323f865225aa3078409fc3ab9.jpg
 
Katika kikao cha bunge, mbele ya rais Samia, Waziri wa madini Doto Biteko amesema kwamba mapato (sales) ya dhahabu ni Tsh 8.1 trillion. Pia amesema kwamba lengo la makusanyo la wizara ya madini ni Tsh 600 billion kwa mwaka. Sikiliza kutoka dakika 2:57.
Ninamnukuu Waziri Biteko.
"Makusanyo baada ya wewe kuingia kwenye ofisi yameongezeka sana. Tulikuwa tunakusanya, na mauzo yote ya dhahabu nchi nzima ni ya trillioni nane nukta moja tisa. Lakini kwa miezi sita pekee toka umekuja, mheshimiwa tumeshafanya mauzo ya trilioni nne na milioni mia saba arubaini. Kiasi kwamba mheshimiwa rais hatuna wasiwasi, lengo tuliyowekewa la kukusanya bilioni mia sita kwa mwaka kutoka bilioni mia tano themanini tulikuwa tumepangiwa tutalivuka kwa sababu mheshimiwa raisi wewe umeweka msukumo mkubwa sana kwenye miradi hii ya maendeleo."

Sasa nyie watatu mkipinga maneno ya waziri wenu aliyoyasema mbele ya rais wenu mtakuwa wajinga kweli.
chongchung The best 007 coodip1 Lengo la makusanyo la wizara ya madini kwa mwaka ni Tsh 600 billion. Kwa hivyo muwache huo upuuzi wenu wa kusema kwamba mauzo yote ya madini ya $3.6 billion inakwenda GoT.
Katika hili ninaungana na wewe, Jambo Moja unapaswa na wewe kukubali kwamba, mapato yatokanayo na uzalishaji wa ndani, huwa serikali inapata Kodi, lakini serikali haitozi Kodi kwa pesa inayoingizwa nchini Kama "remittances", zaidi ya gharama za kutuma na kutolea pesa, kwasababu remittances sio matokeo ya "goods and services produced domestically"(GDP)[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Katika hili ninaungana na wewe, Jambo Moja unapaswa na wewe kukubali kwamba, mapato yatokanayo na uzalishaji wa ndani, huwa serikali inapata Kodi, lakini serikali hairozi Kodi kwa pesa inayoingizwa nchini Kama "remittances", zaidi ya gharama za kutuma na kutolea pesa, kwasababu remittances sio matokeo ya "goods and services produced domestically"(GDP)[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Asante. Nakubaliana nawe.
 
dar na nairobaa mbingu na ardhi..

at the cbd of dar-es-salaam city.!
street level[emoji38]View attachment 2250716View attachment 2250717View attachment 2250718

VS

at the cbd of nairobi city.![emoji91]
street level View attachment 2250721View attachment 2250730View attachment 2250731View attachment 2250727View attachment 2250720

i still remember vividly, some years back, a BBC reporter complementing nairobi street level as being comparable only to those of south africa's major cities
Hayo majengo ya dar yamechakaa aje
 
Ukiwaambia wakulungwa Port iko rehani wanakuwa wabishi. Naona matamshi ya viongozi wao wanayaamini sana lakini ukija on the ground hakuna kitu. Mfano mzuri ni 11k road network na hili la kukataa KPA haikuwa collateral kwenye loan ya SGR.

Mwenye akili asome na kuona janja ya mkataba hapo borrowers sio serikali kuu bali ni KPA na KRA in the event of defaulting on loan payments mchina anaweza attach mali za KRA na KPA.

Screenshot_20220605-091234_Opera.jpg
 
Katika kikao cha bunge, mbele ya rais Samia, Waziri wa madini Doto Biteko amesema kwamba mapato (sales) ya dhahabu ni Tsh 8.1 trillion. Pia amesema kwamba lengo la makusanyo la wizara ya madini ni Tsh 600 billion kwa mwaka. Sikiliza kutoka dakika 2:57.
Ninamnukuu Waziri Biteko.
"Makusanyo baada ya wewe kuingia kwenye ofisi yameongezeka sana. Tulikuwa tunakusanya, na mauzo yote ya dhahabu nchi nzima ni ya trillioni nane nukta moja tisa. Lakini kwa miezi sita pekee toka umekuja, mheshimiwa tumeshafanya mauzo ya trilioni nne na milioni mia saba arubaini. Kiasi kwamba mheshimiwa rais hatuna wasiwasi, lengo tuliyowekewa la kukusanya bilioni mia sita kwa mwaka kutoka bilioni mia tano themanini tulikuwa tumepangiwa tutalivuka kwa sababu mheshimiwa raisi wewe umeweka msukumo mkubwa sana kwenye miradi hii ya maendeleo."

Sasa nyie watatu mkipinga maneno ya waziri wenu aliyoyasema mbele ya rais wenu mtakuwa wajinga kweli.
chongchung The best 007 coodip1 Lengo la makusanyo la wizara ya madini kwa mwaka ni Tsh 600 billion. Kwa hivyo muwache huo upuuzi wenu wa kusema kwamba mauzo yote ya madini ya $3.6 billion inakwenda GoT.

Unachochanganya ni kwamba hiyo Tshs 600 bln ni kodi! Sasa revenue ya gold ni uuzwaji wa dhahabu yenyewe plus related tax i.e. export tax, VAT n royalties! So when GoT gets $3.5 bln means it's own revenue! It has nothing to do with what Barrick n other mining companies get upon selling the gold globally! Wacha kupotosha!
 
Inaniuamje mombasa imedorola wewe kwann mm Kenya..

So Week iliyopita yote Fly dubai imetua KIA?
Turkish Imetua KIA?

Hizo zinakujaga kipindi ambacho ni high season..ikiwa low season

Fly dubai Inakuja Dar Via Znz

Na Turkish inakuja Dar via Znz, some days sio Via Znz

Hyo edelweiss inakuja High season Zanzibar Via KIA

Hyo Eurowings kila Jumapili Inaenda Zanzibar via Mombasa..

Ukiambiwa facts usiwe unabisha.

Na condor ilikuwa hivyo hvyo..

Kuna kipindi Hizo zote Fly dubai , turkish zinashuka KIA ..then high season ikipungua kuna kua hamna scheduled flights ..

Only to Dar and some to Dar Via Znz

KLM yenyewe kipindi cha low season inapunguza frequency ..
.View attachment 2250592
Sasa kwa akili yako itaendelea kwenda zanzibar kupitia Mombasa hata baada ya route KIA kuanza? Kutakuwa hamna changes zozote kama direct flights to Znz au KIA?
 
Unachochanganya ni kwamba hiyo Tshs 600 bln ni kodi! Sasa revenue ya gold ni uuzwaji wa dhahabu yenyewe plus related tax i.e. export tax, VAT n royalties! So when GoT gets $3.5 bln means it's own revenue! It has nothing to do with what Barrick n other mining companies get upon selling the gold globally! Wacha kupotosha!
GoT does not get $3.5 billion. $3.5 billion ni mauzo (sales) ya madini. Wewe endelea kupingana na waziri wenu wa madini.
 
Back
Top Bottom