Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi Kenya Kuna Demokrasia kuizidi Tanzania?, Hata vichaa watakucheka[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wameambiwa wasiseme kilometers ili kuondoa statistics faulty 😂😂😂😂
 
Wewe kama kawaida yako ni uwezo mdogo wa akili hatukushangai, Sasa one party dictatorship ni kitendo cha chama kimoja kukaa madarakani au ni idadi ya kura?, Kama ni idadi ya kura, kuwa nyingi, unakumbuka Nelson Mandela na Thabo Mbeki walichaguliwa kwa kura asilimia ngapi?, Kwanini hata huko usiseme ni one party dictatorship?.

Kikwete awamu ya pili alipita kwa 54%, wapinzani Bingeni walifikia 45%. Kenya ninyi zaidi ya ukabila hamjui Wala hakuna Demokrasia, wajaluo wanauliwa kila kwenye uchaguzi, hakuna hatua zozote zinachukuliwa na hakuna haki yoyote. UN imethibitisha kwamba Tanzania ipo juu kuzidi Kenya, na hamjawahi kutuzidi toka tupate uhuru

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenya tu ndio Kuna upungufu wa mafuta hapa Africa, nchi zingine zote mafuta yanapatikana, tatizo ni Bei kuwa juu, wacha kujiliwaza

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ni thika pekee ndio barabara kenya?
 
Wakenya hawapendi wakiona Tanzania tunafaidika na SADC[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Barabara zeny nyembamba hapo mtu wa baiskeli Ana ride wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…