Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana vipi? Mbona unanga'ang'ania hivyo? Umesha ambiwa na kuonyeshwa kuwa under construction bado king'ang'anizi.

Unajua, hii inaonyesha jinsi ilivyo adimu kupata uchafu Tanzania. Ndio maana unaangaika hii ipite.

Barabara nzima hiyo ili fumuliwa tena ilikuwa double road. Imefumuliwa inajengwa upya with BRT.

Aiseee nyie kweli vilaza daa...

Nyie wakina joto la jiwe Geza Ulole na wengine, mnaweza kubishana na mijitu jinga na ng'ang'anizi hivi??? Salute
Hii kelele yako haitasaidia kutoa hio sewage hapo.
 
Kwa hivyo umekubali CBD yenu ni ndogo, ukiingia umetoka. 🤣 🤣 🤣 🤣
ww ni mjinga wa aina yake kwani ni lazma ofisi ya mkuu wa mkoa iwe CBD au umekariri maisha 😂😂😂😂

narudia kukwambia hakuna CBD kubwa na yenye density ya kisawasawa kama ya dar in east and central africa 🤣🤣🤣
 
Ni maumivu kuona kanchi kadogo kama Kenya kakiwa na km nyingi ya paved roads kuliko bonge la nchi Tanzania, ni aibu sana, alafu total road network and connectivity in Africa ni SA pekee is ahead of Kenya, najua hili mtapinga kama ilivyo kawaida yenu.., na unataka kujilinganisha na sisi., nyie bado mko porini tukilinganisha bana, yaani ata Kenya ikibakia na 13,000km in relation to its size, it will still be ahead of Tanzania on average, nyie ni below 15,000km na hiyo size yoote ya nchi! ..,
View attachment 2247056
Kwahyo mnawazidi Egypt, Morocco,Algeria,Nigeria kwa paved roads? You must be a fool
 
Street view. Kileleshwa
kenyan-roads-kileleshwa-near-arboretum-nairobi-kenya-kenyan-roads-kenyan-roads-kileleshwa-near...jpg
kenyan-roads-kileleshwa-near-arboretum-nairobi-kenya-kenyan-roads-kenyan-roads-kileleshwa-near...jpg
 
It's freaking 5km away. We jamaa vipi? Leo umeamka na chang'aa kichwani au frustration hizi??? Dah
Eti 5km away 🤣 🤣 🤣 Hata mkijitetea aje, mutatuambia mbona mkona maji ya sewage nje ya offisi ya mkuu wa mkoa.

1654022982828.png
 
Back
Top Bottom