Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi ..Viwanja Vitatu vipya
Afcon Needs 6 stadiums ili ku host
6 stadiums

2 Stadiums 60k
2 stadiums 40k
2 stadiums 20k kama sikosei

so
2 60k plus ..my guess ni kitakuwa Dodoma (New One) .. na Kingine kipo Dar Tayari(Mkapa)

2 40k..stadium my guess ni Dar (Uhuru) na Mwanza (New Stadium ? or CCM kirumba Rehab)

2 20k .. i think one in zanzibar('Amani stadium to be renovated ) and another (New 20k) i d love
wachague kati ya Arusha au Mbeya ..

I think they will go for Arusha , Hotels , toursim..etc

2nd Plan ..
1.In Dar (Mkapa) 60k
2 .New In dodoma 60k to 80k??
3.Rehab CCM Kirumba to 40k
4.New Stadium in Arusha 40k
5..Amani zanzibar 20k
6.New Stadium in Mbeya 20K
Nafikiri kwa Arusha inastaili kuwa na kiwanja cha kisasa pia ukizingatia kuwa na vivutio vya utalii na mambo mengine
 
tuusan kuna siku uliuliza kuhusu barabara za Kenya. Hapa kuna 84 kilometre dual carriageway ambayo itamalizika mwishoni mwa mwaka huu. Rais wa Afdb Akinwumi Adesina amekuja kutembelea mradi huu. Hii ndio itakuwa the longest dual carriageway road in East and Central Africa. Hakuna barabara ndefu yenye leni nne kushinda hii. Inaitwa Kenol-Marua road. 84 kilometres ya dual carriageway sio mchezo.

Haiwezi kuwa longest wakati dodoma tayari kazi imeanza .

Mind you ni 110km long
 
Kaitaba Bukoba na Azam Complex Chamazi hivi haviko kwenye viwango vya kuhost Afcon,au seating capacity yake ni ndogo sana mkuu?
Azam Complex Bado nakumbuka ina seating capacity ya 7k to 10k ...ila pitch quality yake nzuri..

Akijitahidi akaweka majukwaa mazuri sitashangaa akichaguliwa..ila akibaki the same itatumika kama Training ground...

Kumbuka kila Host city inahitaji Venue kama 4 za training ..so total training facilities inabidi ziwe 24 kwa nchi

I think Only Dar can qualify as host city for now.
 
Azam Complex Bado nakumbuka ina seating capacity ya 7k to 10k ...ila pitch quality yake nzuri..

Akijitahidi akaweka majukwaa mazuri sitashangaa akichaguliwa..ila akibaki the same itatumika kama Training ground...

Kumbuka kila Host city inahitaji Venue kama 4 za training ..so total training facilities inabidi ziwe 24 kwa nchi

I think Only Dar can qualify as host city for now.
Nimekusoma kaka!
 
Mwezi wa 8 bado mbali kidogo kaka kwa matukio ya Kitaifa linaweza kutokea lingine akaattend.
Nilikuwa sijakusoma vizuri matukio kama haya hayatatokea tena kwenye utawala wake means ni mpaka mwakani ambapo hatakuwa madarakani,.
 
Hivi hawa huwa wanachukua mkopo wapi?
Wanajifund wenyewe maana karibia kila kitu wanacho,serikali yao inajimudu. Sasa barabara ndefu hivyo lakini watatumia muda mfupi kumaliza na kuokoa fedha nyingi ambazo zingetumika kwa ziada iwapo kama mradi ungechelewa kuisha.

Wakija Afrika wanajivuta sana ili wachelewe kumaliza walete visingizio tuwaongezee pesa. Wanatupiga sana hawa watu.
 
image_02d5b9d3-5708-417e-833a-fe78c1dff6be20220601_112956.jpg
image_95ecf72f-20f3-4852-a740-311394408bf020220601_113106.jpg
 
Sherehe ya leo imenibamba sana. Imenoga. Vifaa vyote vya kijeshi vimemwagwa leo. Pengine ni njia ya wanajeshi kumuambia Uhuru "bye"
 
Back
Top Bottom