Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mm najua maana ya main road na streets hzo unazoonesha ww ndio hzo nkurunah road sijui moi avenue road na mbona haziitwi streets ?? 🤣🤣 au walikosea budaa

tatizo lenu hakuna elimu iliyowasaidia nyinyi zaidi ya kuvukia barabara tu na kujenga magorofa ya matope 😂😂😂😂

siku mombasa itafikia level ya streets za mwanza nitag mm nifunge acc mamaae






Unajitia hamnazo tu😂😂😂😂😂, yaani ni too obvious u can't compare Mombasa and any other town in Tanzania nje ya Dar, tusisumbuane tafadhali😂😂😂😂😂, ngojeni wakati wenu utafika tu ata kama sio hiki kizazi chenu, pole naelewa haya maumivu na wivu😂😂😂😂Hizi clips zako nilizihifadhi, unajipiga risasi kwa mguu,Mwanza iko down maze, ni vyema kujipa matumaini 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2247026
mbona picha moja sasa ?? 🤣🤣🤣 zingine ziko wapi ushajua kutaofautosha kati ya main road na streets sasa

siku utapata streets za kufananisha na mwanza nitag nifunge acc 👆👆👆😂😂😂
 
Tweet yako ni ni ya 2021 hio nimepost ni ya last week, you don't make any sense.
So? Una maanisha construction haikufanyika au imeisha?

We una akili kweli wewe, It's still valid, the road is still under construction.

Tena ukiangalia hiyo picha hapo utaona kibao cha ofisi ya mkuu wa mkoa.

Jiheshimu wewe, Acha ubishi wa kitoto wa kupotezeana muda.
IMG_20220601_133322.jpg
 
Hii reli yetu ya umeme ingelikuwa Kunyaland isingepigwa fence asilani, na kwakweli kwa jinsi ilivyo na speed kali ingeuwa sn Wakunya, hebu angalia madereva wa Kunyaland walivyo na akili mbovu alafu wawekewe reli ya umeme View attachment 2246996
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Walaaa nimecheka sana !
20220520_065640.jpg
20220520_065641.jpg
20220520_065700.jpg
 
hio barabara inajengwa na ukitaka ushahidi sema tu ntakupigia kwa simu yangu mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣 munaumiza vichwa bure tu
Mkuu wa mkoa anapokea wageni nje ya sewage eti ju barabara inatengenezwa. 🤣 🤣 🤣 Hamna aibu mbele ya wageni.
 
Yenu ni ndani ya CBD tena nje ya offisi ya mkuu wa mkoa. Aibu kubwa sana hio.
Kijana vipi? Mbona unanga'ang'ania hivyo? Umesha ambiwa na kuonyeshwa kuwa under construction bado king'ang'anizi.

Unajua, hii inaonyesha jinsi ilivyo adimu kupata uchafu Tanzania. Ndio maana unaangaika hii ipite.

Barabara nzima hiyo ili fumuliwa tena ilikuwa double road. Imefumuliwa inajengwa upya with BRT.

Aiseee nyie kweli vilaza daa...

Nyie wakina joto la jiwe Geza Ulole na wengine, mnaweza kubishana na mijitu jinga na ng'ang'anizi hivi??? Salute
 
Back
Top Bottom