Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tuusan kuna siku uliuliza kuhusu barabara za Kenya. Hapa kuna 84 kilometre dual carriageway ambayo itamalizika mwishoni mwa mwaka huu. Rais wa Afdb Akinwumi Adesina amekuja kutembelea mradi huu. Hii ndio itakuwa the longest dual carriageway road in East and Central Africa. Hakuna barabara ndefu yenye leni nne kushinda hii. Inaitwa Kenol-Marua road. 84 kilometres ya dual carriageway sio mchezo.

ati longest dual carriage in East and central Africa? How about Dodoma 110 km ring road? Wacha upumbavu! kwenye reli, meli na ndege hamtugusi hata kidogo!

Hakuna kitu chaajabu umeweka hapa brathee, umetoka kwenye street level umeweka Arial view 😂😂😂😂, hapo chini uharo ni uleule
lazima kieleweke... basi hii video.. narudia tena, itamaliza debate. heb tujadili baada ya kuutazama huu kanda. thank u 👇🏽
 
ati longest dual carriage in East and central Africa? How about Dodoma 110 km ring road? Wacha upumbavu!

Yetu inakamilika mwaka huu yenu itakamilika 2025. So yetu itakuwa longest kuanzia mwishoni mwa mwaka huu hadi 2025.
 
Ubaya Museveni katanngaza kubaki neutral maana yake mapatano na Uganda hayajamsaidia kupata usaidizi!
Neutral ya mu7 ni nzuri kwa pk,imagine wakati wapo kwenye mzozo then updf wakakutana na rdf kwenye misitu ya congo,kupatana na mu7 ilikua mkakati wake wa kupigana na congo tu kwenye hii vita
 
Over 31,000 vehicles use the Nairobi expressway everyday~Cs Macharia
View attachment 2246245
Seriously? A week ago on 23 May only 23,000 cars used expressway in the last 7 days and now the same guy is saying 31,000 cars a day.

In my opinion, it's a big fat lie. Naona wanatafuta Kenyans Approval ya kutumia more funds ya kuongeza exit to CBD. Hapo wana wapa hope kuwa expressway inalipa.
IMG_20220601_100509.jpg
 
@Tony254
dyfre
Nicxie
Don YF
Don YF

Ninyi endeleeni kushabikia UN offices na Google ofisi za Nairobi na Express high way wakati matatizo ya msingi(basic needs) hamna habari nazo.

Kenya mtaendelea kuwa ni taifa lenye watu wenaopata taabu na kuteseka zaidi hapa Afrika kwasababu hata vijana Kama ninyi bado mnashabikia maisha ya watu wenye hali ya juu na Kati na kutothamini kabisa mahitaji muhimu ya watu wa hali ya chini ambao ndio zaidi ya 80% ya wakenya wote.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
joto la Jiwe, these are challenges we are facing as a country and we openly talk about them. We don't hide anything, and that's something in us as Kenyans. We don't talk about them under the table like you do in your country for the fear of being reprimanded. Tanzania is a Third World country and faces the same problems we are facing, the only difference being that you can't come out and openly talk about them openly like we do.

It should even worry you that despite the problems we are facing like the ones highlited in that video above, we still score high in HDI and many other important indicators than you. But as usual, you'll go lamenting and disputing such data simply because they do not massage your ego as Tanzanians.

We have a bigger population of unemployed youth but these people are creating their own employment through start-ups. Again, when I share data showing Kenya scoring ahead of your country in start-ups, you'll again dismiss such information saying it doesn't reflect the actual thing on the ground. But everytime the same organisations place your country ahead of Kenya in anything, you go become excited and hit-the-ceiling about it. That's the level of double standards in this forum and there's nothing we can do about it. We can only say, "have your way" as long as it pleases you.
 
SGR Isaka-Keza-Kigali ndo bye bye hivyo! Thanks to unpredicable Kagame katoka kugombana na Museveni saahii yupo na Tshisekedi!
Huyu huwa haaminiki kabisa sijui yukoje,sasa M7 atakuwa bado ana mpango wa kujenga kuipeleka kwake?Maana alikuwa aichukulie hapo Keza huku ikitokea Isaka.
 
hizi ni streets au highways?? siku utapata streets kama hzi nitag mm nifunge acc sasa hvi 😂😂😂😂👇👇👇👇👇

😂😂😂😂😂ushamba ni laana kaka ichoboy01 😂😂, unajua maana ya highway? Sasa hizi zote ni highway? alafu unalinganisha na kijiji la washamba eti Mwanza., tofauti iko wazi mbona ung'ang'ane na ni aibu tupu?😂😂😂😂😂😂

Hizi pia ni highway? na zinaelekea wapi? Now these are streets, avenues or boulevards., lishamba. 😂 😂 😂 😂 siku ile Tanzania will have a city kama Dar outside Dar kama utakua hai kwa vile itachukua miaka mingi sana, kindly nitag, usiogope, ata ukiwa umezeeka, usisahau
1654068691932.png

1654068184522.png

1654066798249.png

1654066871652.png

1654066953008.png

1654066987588.png

1654067054898.png

1654067331574.png

1654067367676.png

1654067402279.png

1654068290559.png

1654068337832.png

1654068366460.png
 
Huyu Kagame anastahili kuondolewa EAC. Sioni ni faida gani analeta EAC na hii migogoro yote anayoanzisha kila kona. Hako kauchumi kake landlocked kadogo ka $12 billion ndio anatisha nayo watu! Rwanda is one of the poorest countries in the world licha ya propaganda ya watu. Ikibidi tuchague kati ya DRC na Rwanda afadhali DRC mara mia moja. Juzi Kagame amekuwa akisumbuana na Uganda.
Jamaa ni msumbufu sana hujui kesho atasema nini au ataamua kitu gani hata kama kuna makubaliano yapo mezani. Asipoangaliwa kwa umakini ataleta usumbufu mkubwa kama usemavyo.
 
joto la Jiwe, these are challenges we are facing as a country and we openly talk about them. We don't hide anything, and that's something in us as Kenyans. We don't talk about them under the table like you do in your country for the fear of being reprimanded. Tanzania is a Third World country and faces the same problems we are facing, the only difference being that you can't come out and openly talk about them openly like we do.

It should even worry you that despite the problems we are facing like the ones highlited in that video above, we still score high in HDI and many other important indicators than you. But as usual, you'll go lamenting and disputing such data simply because they do not massage your ego as Tanzanians.

We have a bigger population of unemployed youth but these people are creating their own employment through start-ups. Again, when I share data showing Kenya scoring ahead of your country in start-ups, you'll again dismiss such information saying it doesn't reflect the actual thing on the ground. But everytime the same organisations place your country ahead of Kenya in anything, you go become excited and hit-the-ceiling about it. That's the level of double standards in this forum and there's nothing we can do about it. We can only say, "have your way" as long as it pleases you.
Ata ground tukifanya forensic audit Tanzania ni aibu sana.., even just looking through google earth across kenya and Tanzania to see what is physical on the ground, Tanzania has a poverty look kwa urefu na upana, taifa lote, hapa hakuna argument, the guy is pained tu. Blind patriotism ni issue hapa. Ni ile our issues are publiized so they think they are better off, lakini worse! Poverty index report ilitoka, wamelamba sakafu tena, poorer than Kenya, I need to drop it hear, nilisoma performance ya EAC, Kenya has improved!
 
Safi ..Viwanja Vitatu vipya
Afcon Needs 6 stadiums ili ku host
6 stadiums

2 Stadiums 60k
2 stadiums 40k
2 stadiums 20k kama sikosei

so
2 60k plus ..my guess ni kitakuwa Dodoma (New One) .. na Kingine kipo Dar Tayari(Mkapa)

2 40k..stadium my guess ni Dar (Uhuru) na Mwanza (New Stadium ? or CCM kirumba Rehab)

2 20k .. i think one in zanzibar('Amani stadium to be renovated ) and another (New 20k) i d love
wachague kati ya Arusha au Mbeya ..

I think they will go for Arusha , Hotels , toursim..etc

2nd Plan ..
1.In Dar (Mkapa) 60k
2 .New In dodoma 60k to 80k??
3.Rehab CCM Kirumba to 40k
4.New Stadium in Arusha 40k
5..Amani zanzibar 20k
6.New Stadium in Mbeya 20K
Kaitaba Bukoba na Azam Complex Chamazi hivi haviko kwenye viwango vya kuhost Afcon,au seating capacity yake ni ndogo sana mkuu?
 
Back
Top Bottom