Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

From the land of Magic,Tanzania 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-164705.png
    Screenshot_20220531-164705.png
    264.4 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220531-164433.png
    Screenshot_20220531-164433.png
    162.5 KB · Views: 18
Defence Expo Kati ya India na Tanzania is being taking place in Tanzania 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-164413.png
    Screenshot_20220531-164413.png
    120 KB · Views: 19
@Tony254
dyfre
Nicxie
Don YF
Don YF

Ninyi endeleeni kushabikia UN offices na Google ofisi za Nairobi na Express high way wakati matatizo ya msingi(basic needs) hamna habari nazo.

Kenya mtaendelea kuwa ni taifa lenye watu wenaopata taabu na kuteseka zaidi hapa Afrika kwasababu hata vijana Kama ninyi bado mnashabikia maisha ya watu wenye hali ya juu na Kati na kutothamini kabisa mahitaji muhimu ya watu wa hali ya chini ambao ndio zaidi ya 80% ya wakenya wote.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

but the fact still remains majority of kenyans are in the middle class, u'll not understand tht.....

an average kenyan live in a better housing condition, feeds well, has a better education, clothes well, access to a better healthcare service, easy access to electricity, travel better, paid a higher salary than an average tanzanian.....

if rankings were conducted today by atleast 3 different independent and reputable international bodies btwn these two countries, basing on all those areas i've touched, you ll find tht, all their results will be consistent and all in favour of kenya.! that one we can bet🤚🏽

shebby01 has lived here, he knows this very well only tht he's afraid of opening out his heart

those pple in northern kenya that u happen see, are just but a fraction... <100,000, against a whole 53M.! and they are supplied with food staff by the gov't year on year. they are included in the national budget..

nb: please put into account a per capita income of $2,300 against $1,080..... 🤔🤔
 
Huyu Kagame anastahili kuondolewa EAC. Sioni ni faida gani analeta EAC na hii migogoro yote anayoanzisha kila kona. Hako kauchumi kake landlocked kadogo ka $12 billion ndio anatisha nayo watu! Rwanda is one of the poorest countries in the world licha ya propaganda ya watu. Ikibidi tuchague kati ya DRC na Rwanda afadhali DRC mara mia moja. Juzi Kagame amekuwa akisumbuana na Uganda.
 
@Tony254
dyfre
Nicxie
Don YF
Don YF

Ninyi endeleeni kushabikia UN offices na Google ofisi za Nairobi na Express high way wakati matatizo ya msingi(basic needs) hamna habari nazo.

Kenya mtaendelea kuwa ni taifa lenye watu wenaopata taabu na kuteseka zaidi hapa Afrika kwasababu hata vijana Kama ninyi bado mnashabikia maisha ya watu wenye hali ya juu na Kati na kutothamini kabisa mahitaji muhimu ya watu wa hali ya chini ambao ndio zaidi ya 80% ya wakenya wote.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mzee rankings zote za HDI ambayo inaweza tumika kupima standard of living tumewashinda. Sasa kwa nini unasumbuana na Wakenya?
 
@Tony254
dyfre
Nicxie
Don YF
Don YF

Ninyi endeleeni kushabikia UN offices na Google ofisi za Nairobi na Express high way wakati matatizo ya msingi(basic needs) hamna habari nazo.

Kenya mtaendelea kuwa ni taifa lenye watu wenaopata taabu na kuteseka zaidi hapa Afrika kwasababu hata vijana Kama ninyi bado mnashabikia maisha ya watu wenye hali ya juu na Kati na kutothamini kabisa mahitaji muhimu ya watu wa hali ya chini ambao ndio zaidi ya 80% ya wakenya wote.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Shida sielewi Ni Nini.... Either Kuna wengi wenyu hamjasoma vizuri au media yenyu huwa inawafeed alot of propaganda hamjui kutumia facts while ziko available Kila Mahali... Hivi nikuulize Kati ya Kenya Na Tanzania which one has a better purchasing power parity????
 
Safi ..Viwanja Vitatu vipya
Afcon Needs 6 stadiums ili ku host
6 stadiums

2 Stadiums 60k
2 stadiums 40k
2 stadiums 20k kama sikosei

so
2 60k plus ..my guess ni kitakuwa Dodoma (New One) .. na Kingine kipo Dar Tayari(Mkapa)

2 40k..stadium my guess ni Dar (Uhuru) na Mwanza (New Stadium ? or CCM kirumba Rehab)

2 20k .. i think one in zanzibar('Amani stadium to be renovated ) and another (New 20k) i d love
wachague kati ya Arusha au Mbeya ..

I think they will go for Arusha , Hotels , toursim..etc

2nd Plan ..
1.In Dar (Mkapa) 60k
2 .New In dodoma 60k to 80k??
3.Rehab CCM Kirumba to 40k
4.New Stadium in Arusha 40k
5..Amani zanzibar 20k
6.New Stadium in Mbeya 20K
 
Safi ..Viwanja Vitatu vipya
Afcon Needs 6 stadiums ili ku host
6 stadiums

2 Stadiums 60k
2 stadiums 40k
2 stadiums 20k kama sikosei

so
1 60k plus ..my guess ni kitakuwa Dodoma ..
2 40k..stadium my guess ni Dar na Mwanza
2 20k .. i think one in zanzibar and i d love wachague kati ya Arusha au Mbeya ..

I think they will go for Arusha , Hotels , toursim..etc
Mwanza hakuhitaji uwanja mwingine ule wa CCM Kirumba unaweza kuwa modernized unless u-Sukumagang utumike! Na Dar hakuhitaji uwanja mwingine pia kuna Mkapa stadium na Taifa hata Zanzibar pia kuna viwanja vitatu vizuri kunahitaji modernization tu! Mikoa mingine ni sawa!
 

Tanzania starts exporting coal to European markets​



TUESDAY MAY 31 2022​

pic coal mining

Tanzania has abundant coal deposits. Mchuchuma alone is estimated to have 540 million tonnes of reserves, enough to produce 600MW for over 100 years. PHOTO|FILE

Summary

  • Coal is primarily used as fuel to generate electric power. It is a key ingredient in steelmaking and a key energy in cement production among other uses.


By Mwanamkasi Jumbe
More by this Author

Mtwara. Tanzania’s coal has penetrated the European market, thanks to a contract between Ruvuma Coal Limited and Hong Kong-based Kenexon Company.

Through the one-year contract, the companies yesterday transported 60,000 tonnes of coal to the Netherlands.

Coal is primarily used as fuel to generate electric power. It is a key ingredient in steelmaking and a key energy in cement production among other uses.

The consignment was transported on ship known as Southern Cross which docked at the Mtwara Port yesterday.

Speaking during an event to load the coal onto the ship yesterday, the Mtwara branch manager for Ruvuma Coal Limited, Mr Saidi Gadafi, said yesterday consignment brings the total volume of coal transported outside the country to 300,000 tonnes since the two firms inked the deal several months ago.

“The product has been transported to China and India,” he said.

He said the development was testament to the fact that a number of industries in the world were now aware of the availability of coal in Tanzania and that they were in discussions with various companies for new business prospects.

“We are grateful to the government for improving the port infrastructure. In the past, we could transport only once in every three months but with facility improvement at the port, we have been receiving two to three ships for the purpose every month,” said Mr Gadafi.

The company says it now sells coal to India, China, Senegal, Egypt and now Europe.

“We are now exporting to Ghana and Ivory Coast,” he said.

The acting director of marketing and public relations at Tanzania Ports Authority (TPA), Mr Nicodemus Mushi, said the Southern Cross ship has recorded the highest volume of coal to be transported at once from Mtwara Port.

“This 59,960 tonnes is the highest single volume to be transported from Mtwara Port. We have now reached more international market. This coal is now heading to Amsterdam, Netherlands” said Mr Mushi.

He said the coming of the ships was clear testimony of the fact that that amount that the government has invested in improving the Mtwara Port was finally paying off and that the sea gateway was not only meant for cashew nuts but also for a number of other products.

 
Safi ..Viwanja Vitatu vipya
Afcon Needs 6 stadiums ili ku host
6 stadiums

2 Stadiums 60k
2 stadiums 40k
2 stadiums 20k kama sikosei

so
2 60k plus ..my guess ni kitakuwa Dodoma (New One) .. na Kingine kipo Dar Tayari(Mkapa)

2 40k..stadium my guess ni Dar (Uhuru) na Mwanza (New Stadium ? or CCM kirumba Rehab)

2 20k .. i think one in zanzibar('Amani stadium to be renovated ) and another (New 20k) i d love
wachague kati ya Arusha au Mbeya ..

I think they will go for Arusha , Hotels , toursim..etc

2nd Plan ..
1.In Dar (Mkapa) 60k
2 .New In dodoma 60k to 80k??
3.Rehab CCM Kirumba to 40k
4.New Stadium in Arusha 40k
5..Amani zanzibar 20k
6.New Stadium in Mbeya 20K
Mbeya unaweza kuwa 40k pia wana timu nzuri ligi kuu!
 
SSH mtu ya watu,hapa Madam President amealikwa kuwa mgeni Rasmi kwenye party ya mwanachama wa Upinzani,Joseph Mbilinyo a k a Sugu
Huyo ajawai kutembekea miradi.mikubwa wala kubuni miradi mikubwa ya kimkatati kuliko kuonekana kwenye matamasha mafiii day to night, hayo ndiyo madhara ya kuongozwa na wanawake waliopata vyeo kwa kutumia tobo zao za chini na si akili zao vichwani , wanawake wengi serikalini hasa kwenye nafasi za kisiasa tz wanapata nafasi kwa kutumia tobo za chini wala siyo akili zao kichwani huu ni ukweli wala siyo matusi, na ukweli utatuweka huru
 
tuusan kuna siku uliuliza kuhusu barabara za Kenya. Hapa kuna 84 kilometre dual carriageway ambayo itamalizika mwishoni mwa mwaka huu. Rais wa Afdb Akinwumi Adesina amekuja kutembelea mradi huu. Hii ndio itakuwa the longest dual carriageway road in East and Central Africa. Hakuna barabara ndefu yenye leni nne kushinda hii. Inaitwa Kenol-Marua road. 84 kilometres ya dual carriageway sio mchezo.

 
tuusan kuna siku uliuliza kuhusu barabara za Kenya. Hapa kuna 84 kilometre dual carriageway ambayo itamalizika mwishoni mwa mwaka huu. Rais wa Afdb Akinwumi Adesina amekuja kutembelea mradi huu. Hii ndio itakuwa the longest dual carriageway road in East and Central Africa. Hakuna barabara ndefu yenye leni nne kushinda hii. Inaitwa Kenol-Marua road. 84 kilometres ya dual carriageway sio mchezo. Kumbuka tuna Thika road, 40 kilometres za leni nane, barabara ya kipekee ukanda huu.

 
Back
Top Bottom