Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaropokwa kwamba city ambayo ina 5th biggest port in Africa haistahili kuitwa city?
kua na biggest port haina maana kwamba inamaendeleo inaeza kua ina big port lakini iko nyuma kimaendeleo kwa miaka 100🤣🤣 hvi ww hujui kama kiuhalisia mombasa ilitakiwa kua mbali sana kuliko nairobi ?? hvi mombasa kuna maendeleo gani over 50yrs now??😂😂😂😂 ikiwa port yenyewe sahii inakufa, mombasa kuna maendeleo gani ????
 
Nioneshe slum 1 Mwanza nikuoneshe slums 100 Mombasa 🤣🤣🤣
Sasa Tanzania karibia yote mko standards level ya slum upande wa makazi, unataka nikuonyeshe nini? kila mji wa Tz, standard housing haipiti 10% wa mji., so what are u trying to say? mko hovyo.., mimi naeza kumwaga google earth images ya Mwanza wacha vi angle mnazo tumia humu kupotosha watu.., Mombasa on google earth ni level ya Dar kabisaa, utafikiria ni Dar.., yaani nyie hamna city nje ya Dar, na sio tafadhali so tusisumbuane., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Can that Kigogo be compared with Kenyan bloggers? How many followers does he have on Twitter?
For real sure I don't know how many followers he has and am not one of his fans but my concern was your fellow Kenyans asked for that.
 
Makes alot that's why it's one of the best and successful reliable,modern efficient transport system across in Africa.
Acha uongo😂

Screenshot_20220530-122405.png



Your BRT makes Ksh 6.25M per day. That means it does around Ksh 367,647 per hour when it operates from 0500h to 2200h.

Let's assume the total number of buses used in your BRT is 200, that means that each bus make around Ksh 1,838 per hour.

How many trips does one bus does in an hour?

How many passengers does one bus carry per trip?

What's the average fair price paid by each passenger?

How much gas does each bus use per trip?

If you does that you will find that your BRT is running at a loss.
 
Wacha ujinga. Hii ni ya mwaka gani? Kama sio ya 2007 wachana nayo.
"Tuma na ya kutoa" is a Kenyan phrase.


Wote mnaropoka tu from nothing substantial, nimesema leteni the oldest printed phrase hapa na mimi nilete, simple!
 
Back
Top Bottom