Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata ulie but haiondoi ukweli kwamba massive projects kama bwawa la JNHPP na electrifitried SGR phase 1 ni pesa za ndani.
Kabla nikujibu wewe kikojozi amka ukimbie chooni kule nje usije ukakojoa kitandani naona jua bado haijachomoza😂😂😂

Now u idiots get this;"a brocken clock is correct twice a day" meaning its correctness does not make it alright, CAG exposed everything, even after imf n world bank questioned your not adding up numbers, nyambaff.😛😜😂😂
 
This not a hotel but residencial buildings in Nairobi I love how residential designs are changing from the old box structures to modern architect... Hope itchanges even in the low income areas View attachment 2243803View attachment 2243804View attachment 2243805
Ndio mnashtuka leo wakati mji wenu wote mmeuchafua na hayo maslums?
Screenshot_20220504-232509.jpg
 
Nimesoma comments za hii tweets.. wengi wanalalamika kuhusu viwanja.. it says alot about gvment priority in sports (while we have a lot of potentials)..
vitu kama hv ni fursa kubwa sana ila ndo hivyo
Ndio wajenge sasa Dodoma, Mwanza na Mbeya. Halafu waweke kila mji wenye viwanja hivyo vikubwa TFF wawe na training ground hata 2 kali za kisasa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lenu ni kwamba saizi ndio mnachanuka mnaanza kuona kama tuko rika yenu. Pata habari kwanzaView attachment 2243971
Nenda shule ujue tofauti ya Control vs monitor..
You didnt, dont and wont have mandate to control our airspace.. its been and will always be TCAA mandate
you just monitored the airspace. #zilipendwa
saiz mmebaki kukopakopa tu hata kwa kujilipia mishahara
 
Tatizo lenu ni kwamba saizi ndio mnachanuka mnaanza kuona kama tuko rika yenu. Pata habari kwanzaView attachment 2243971
As I said to you, this is Normal in aviation sector, if the country is big like Tanzania, and don't have enough number of radars to cover the whole area, some neighboring countries' radars can be hired to give that service, even the southern part of Tanzania used to be served by Zambia, remember you were paid for that, if that fits the definition of controlling, then Tanzania controls Kenya on food, because who feeds you controls you

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijui ila nimefurahia madereva wa Tanzania kuzuia malori ya Kenya kuingia Tanzania pia!
Wakunya wanapenda ukorofi halafu wataanza kulaumu , wanazani upole wa watanzania wataachiwa wao waingie tu . Kumbe bora uzinguane na serikali kuliko wananchi wa kawaida wanaweza wakasababisha wenzao wanaokaa dar wakaona maisha magumu . Ogopa sana kuzinguana na wananchi wanaweza kukutenga waziwazi hadi ukaona maisha magumu
 
As I said to you, this is Normal in aviation sector, if the country is big like Tanzania, and don't have enough number of radar to cover the whole area, some neighboring countries' radars can be hired to give that service, even the southern part of Tanzania used to be served by Zambia, remember you were paid for that, if that fit the definition of controlling, then Tanzania controls Kenya on food, because who feeds you controls you

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Because u are poor, ndio mnaanza kubalehe., 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom