Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Punguza ujinga basi kidogo, mbona sisi inajulikana kwamba ndege zetu zipo Mwanza na Dar es Salaam, na idadi ya ndege zilizopo Mwanza inajulikana na Dar inajulikana,na hata picha za satelites zinaonyesha idadi yake zikiwa ktk hizo Airbases, mbona kwenu haijulikani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
How about the most modern Ngerengere airbase in the whole of East and Central Africa?
 
Go learn why it was of a paramount significance to have foreign military bases in Kenya.

When it comes to issues of security, your entire state security organs (intelligence, army, police) are next to useless.
We are so useless that Iddi Amin was afraid of attacking Kenya and decided to attack Tanzania which has a stronger military than Kenya? What type of logic is that?
 
Hizi updates zipeleke jukwaa la siasa ,manake unatukera sote unaanza kua na tabia za kichawi ukiambiwa kitu elewa
Unakerekaje? Hebe eleza nikukune..

Jukwaa la siasa kufanyaje? Uchawi mumezaliwa nao kutoka kwa mama zenu msinisingizie..

Pita kushoto huko fala wewe,nitawakera zaidi na zaidi maay I enjoy kuwakera na ndio Kazi yangu hasa kama tuu Yanga ilivyowakera Simba Jana..

Kama SSH anafanya vizuri ulitegemea asikukere wewe Sukuma gang?

Lami hadi Vijijini kwenu huko Kishapu,twende Kazi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220529-083447.png
    Screenshot_20220529-083447.png
    196.3 KB · Views: 15
Kufanya nini Congo wakati huko South Sudan KDF ilishindwa kulinda Amani hadi Ban Ki- min akalazimika kuwafukuza?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
South Sudan hatuijaenda as a country but as part of UN. For Somalia and DRC, we are operating as a country and not under UN. That's something that Tanzania will never do cause first you don't have funds to maintain the military operation.
 
Oya joto la jiwe njoo uhesabu hizi ni jets ngapi za Kenya.
1653804488408.png


Kabla hujakimbia kusema kwamba hio picha sio ya Kenya soma hii thread
 
Hahaha ni kweli tulikimbilia USA. USA akatuokoa. Kwa hivyo sisi ni werevu kuwashinda. Amin kawaona nyie ndio weak baada ya kuona Kenya tuna protection kutoka USA. Tanzania hamkuwa na superpower wa kuwalinda, mlikuwa mayatima. Poleni sana. Anayetaka uhondo zaidi asome hapa
We're blessed broh...
Ivi unajua baada ya majimaji war mjerumani alibadilisha nbinu za utawala wake kwetu hapa mjerumani akiri kati ya makoloni yake tanganyika ilitawaliwa ki upole (kwa kifupi alitulegezea )

Hivi unajua baada ya 1ww tanganyika hatukua koloni la yeyote yule hadi uhuru

Hivi unajua dar es salaam haikujengwa na wazungu hawakuacha hata university

Hivi unajua tulizisaidia kwa jasho na damu nchi ngapi kuwashinda wakoloni (mabeberu)
Haya yote tumeyafanya wenyewe sie mayatima aka maskini jeuri
 
wacha porojo pia na ww... sema makucha mzuri.!

nb:
kitu nimegundua na karibu nyinyi wabongo wote humu. mnapenda sana kuchambua vitu. ata vitu vidogo vidogo negligible pia mtazichambua tu.... aisee wabongolee..🤔🤔 basi jinsi ninavyoona mimi ni kwamba bongo imejaa sana fitna na umbeya... ata mandume huko wako na hii hii tabia ya kibinti.. hivi imetamba sana..

cc: The best 007
Teargas
Tony254
I think you should give lessons to some them on how to maintain finger nails, juu niliona makucha zingine hapa chafu kweli kweli.
 
Hizo ndege zilinunulia mwishoni mwa 1970s, zilikua 17, lakini ambazo hadi Sasa zinafanya kazi ni 5 pekee, ndio sababu Uhuru Kenyatta alitaka kununua "used F-16 kutoka Jordan lakini alisimamisha kutokana na uhaba wa fedha.

Kumbuka Tanzania tulikua na MIG-12 kabla ya 2013 kuamua kuachana Nazo kutokana na kuputwa na wakati na kuwa chakavu, Kama tutazihessbu , basi Tanzania itakua na jumla ya 32 fighter jets, yaani 18 second generation MIG-21, na 3rd generation J-7 zipo 14

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ebu hesabu hizo 32 tuone, Mimi nimekuonyesha around F-5 14 that are ready to fly according to this satellite picture. Remember we also jets.

15373646_img20220505173231_jpege25a7f1dc3e6bade6d71de16661be1a8.jpeg
 
Mbona kila website mtandaoni inasena kwamba Kenya ina 17 fighter jets ila wewe unakataa kuamini na unaziita hizo websites kwamba ni za uchwara? Halafu hii moja inayosema kwamba nyie mna 14 fighter jets unakubali haraka sana?
14 new J-7 Chengdu fighter jets from China, bought ordered in 2013 and delivered in 2014. Hii taarifa ni public document inapatikana popote.

Wewe onyesha lini mlinunua hizo F-5 na mlizipokea lini

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Tanzania mna 14 fighter jets za aina ya J-7G ila kwenye maonyesho ya kitaifa mnatumia 5 pekee? Ni kwa sababu zingine lazima zibaki kwenye airbase ili kulinda taifa.
Are you aware that out of those 14 only 6 are operational. Others zimeharibika.
 
14 new J-7 Chengdu fighter jets from China, bought ordered in 2013 and delivered in 2014. Hii taarifa ni public document inapatikana popote.

Wewe onyesha lini mlinunua hizo F-5 na mlizipokea lini

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tarehe ambayo tulizinunua haina uhusiano wowote na debate uliyoanzisha ya idadi ya fighter jets tuliyonayo.
 
South Sudan hatuijaenda as a country but as part of UN. For Somalia and DRC, we are operating as a country and not under UN. That's something that Tanzania will never do cause first you don't have funds to maintain the military operation.
Hahahaha, Kenya ipo Congo?, Unaumwa wewe. Huko Somalia Kenya sio sehemu ya AMISOM?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Oya joto la jiwe njoo uhesabu hizi ni jets ngapi za Kenya.
View attachment 2243029

Kabla hujakimbia kusema kwamba hio picha sio ya Kenya soma hii thread
Should I bring photos of fighter jets in Mwanza and Dar which include MIG-21 and J-7?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom